Recent content by Astej

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uduni wa taarifa(Data), ni chanzo cha huduma mbovu za afya

    Hongera mkuu! Andiko liko vizuri sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mzalishaji wa viriba vya kuwatikia miche

    Habari wana JF, kwa yoyote anayejihusisha na uzalishaji wa viriba/polythene tubes size mbalimbali vya kuwatikia miche, au mwenye connection hiyo, naomba tuwasiliane inbox au kwa 0622 661 196. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Super Gro kwenye nyanya

    Super Gro chenga tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kupanda Pine trees

    Kama upo serious eneo hilo litapatikana mkuu. Mkoa wa Njombe vijiji vya tarafa ya Lupembe, ni eneo ambalo miti inastawi vizuri sana kulinganisha na maeneo mengine ya Iringa na Njombe. Kwa kias cha eka 100, tunaweza kupata hata kwa elfu 90 kila eka. Karibu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ballon d'or vs FIFA best player of the year

    Asante sana chief! Kwa maana hiyo basi, FIFA Best Men player ina value kubwa kuliko Ballon d'or!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ballon d'or vs FIFA best player of the year

    Wale wale
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ballon d'or vs FIFA best player of the year

    Acha kujiaibisha wewe. Bora ungenyamaza tu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ballon d'or vs FIFA best player of the year

    Habari wadau. Hivi kuna tofauti gani kati ya tournaments mbili hapo juu?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liver namtabilia kushindwa kutoboa kwenye Makundi
  10. A

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

  11. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya ajira za ualimu

    Pakueni hapo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Detail zaidi hususani kutoka kwa mtu ambaye amekifanya, uwayijaji wa mbegu, uoataji, ukuaji, grafting na upatikaji wa vikonyo sana sana ndo shida. Hata kama kuna mtu anayefahamu kuwa kuna sehemu naweza kuta plantation ya zao hili utakuwa ni msaada mkubwa sana kwangu. Sent using Jamii Forums...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Ni jamii hii, inatoa nuts ambazo zinabunguliwa na kutoa kiini ambacho ndo chenye matumizi. Ni chakula kwa kutafunwa kina radha nzuribsana na nutritional contents nying nzuri. Zaid inatoa product nyingi nyingi za urembo na dawa, eg mafuta n.k Zao lipo Tanzania lakin inaonekana kwa scale ndogo...
Back
Top Bottom