Natafuta mzalishaji wa viriba vya kuwatikia miche

Astej

Member
Apr 2, 2018
22
6
Habari wana JF, kwa yoyote anayejihusisha na uzalishaji wa viriba/polythene tubes size mbalimbali vya kuwatikia miche, au mwenye connection hiyo, naomba tuwasiliane inbox au kwa 0622 661 196.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom