Recent content by astefaith

  1. astefaith

    JamiiForums Tanzania Kulipa madeni ya bodi ya mikopo baada ya miezi 2

    Sory ni kulipa sio kulupa
  2. astefaith

    JamiiForums Tanzania Kulipa madeni ya bodi ya mikopo baada ya miezi 2

    Habari za jioni wana bodi. Nimefatilia taarifa ya habari Leo ITV na moja wapo ilikua ni juu ya kurejesha madeni wanafunzi wote waliokopeshwa na Bodi ya mikopo,kilichonihuzunisha ni hii sheria inayosema baada ya miezi 12 wadaiwa walipe mikopo yao? La siivyo watashtakiwa[emoji27] [emoji27] Swali...
  3. astefaith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada acheni kuendekeza njaa

    Kwa staili hii wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji ha ha haaa
  4. astefaith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

    Unaenda wapi werason
  5. astefaith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

    Mungu alimuumba mtu mwaume,akamfanyia msaidizi kutoka ubavuni kwake ambae ni mwanamke, Mwamini Mungu akupe mke mwema,maana apatae mke apata kitu chema,naimani ukiomba hakuna linaloshindikana kwa Mungu hapo umetumia akili zako tuu,hebu nitafte imbox nikusaidie jamani, Mke mwema ni nani awezae...
  6. astefaith

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Kibaigwa Flour Supplies

    Ya gari
  7. astefaith

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Kibaigwa Flour Supplies

    Mkuu naomba namba yako plz,marketing na sales inanihusu
  8. astefaith

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Yaani ilifikia hatua watoto wanashika mapanga wakatane jamani yasikie tuu kwa watu usiombe yakakukuta mabinti hawa ni hatari na lengo lao ni kusambaratisha familia za watu
  9. astefaith

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Kupambana na uchawi si kazi ndogo my dear kama hujasimama utapata mashambulizi makubwa sana hebu amua kumtafta Mungu umwokoe na huyo binti la siivyo mrudishe kwao mapema,
  10. astefaith

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Yaani juz tuu yametukumba hapa nyumbani tulikua na house girl agent wa kichawi yaani bila maombi cjui tuu alikua kashawavika watoto roho za kichawi chakula anapika anaweka vitu vyake baada ya maombi akakili akaokoka,kakaa mda hakusimama ktk kuomba roho zikamrudia tena akarudi na nguvu mpya...
  11. astefaith

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuomba kibali cha kuuaga mwili wa Mawazo mahakamani

    Daah hii nchi siasa adi kwenye mwili wa marehemu jamani,Mungu tuhurumie,rest in peace,
  12. astefaith

    JamiiForums Tanzania Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

    Naimagine Magufuli angeudhuria mkutano huu wa Leo ukawa mngekuwa na lipi la kuongea,maana Magufuli imekua topic now,wote wawili wanayo ya kutueleza kwa sababu ndo macho ya watanzania yanawatazama,c magufuli c lowasa,kama kweli wanania ya dhati na watanzania kwanini wanakimbia mdahalo bila sababu...
  13. astefaith

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mi nimenunua simu yenu ya startimes solar 5 kwa kweli ni nzuri nimeipenda,hongereni,
  14. astefaith

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

    Nipashe : siri kubwa ya mamvi yaanikwa na dk slaa
Back
Top Bottom