Hata sisi wenyewe kwa wenyewe huwa tunabaguana sijui USIOLEWE NA MHAYA, MARA MCHAGA MARA MKURIA, Kama sie kuna makabila hatuyataki kuna tatizo gani kwa wao kukataa weusi?? Tena heri ya sie weusi utamaduni wetu mwingi wafanana, tofauti na mdosi akaolewe na msukuma umwambie asonge ugali ndoa...