ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
It's blue monday!
Baada ya Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini Mh Lazaro Nyalandu kuuvalia njuga msiba wa Arusha na kujitoa mpaka hali ilivyo sasa, ni jambo jema na nampongeza kwa hilo.
Ila kujitoa kwake huko kumeniacha na maswali kadhaa nisipate majibu, inakuaje yeye tu agharamie msiba hadi kwa manusura kiwango hiki, "ameguswa" saaana kitofauti?
Jimbo lake, though sina ufahamu zaidi juu ya maendeleo yake huko nako vipi hujitoa kuwasaidia wananchi wake kwa namna na kiwango kama hiki?
yeye ni mbunge, na Tanzania yetu ni moja inafahamika nchi nzima wengi bado shida zetu na kero ni zile zile hivyo hata jimboni kwake hurnda kero za kiuananchi zipo nyingi tu, je ametumia hatua zipi kuzitatua na amefikia wapi mpaka sasa
wakuu, kwa wenye uelewa mpana zaidi juu ya maendeleo na jitihada za mbunge Nyalandu jimboni kwake aziweke hapa nasi tujue, huenda ikawa ni funzo pia kwa wabunge wenzie
[HASHTAG]#charity[/HASHTAG] obvious begin at home