Recent content by asingile

  1. asingile

    Rais Magufuli: Chuo chochote kitakachojaribu kugoma sitasita kuwafukuza, tena kwa muda usiojulikana!

    Si kila jambo unauliza mkuu. Inaelekea hoja iliyoletwa hapa si 'size' yako kama unaulizia maana ya 'freedom Square' tena kwa kuandika 'sqoaure'!
  2. asingile

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Salaam. Naomba kufahamishwa kama kuna mabadiliko yoyote ya muda uliopangwa kwa mteja kuunganishiwa umeme pale anapokuwa amelipia gharama za service line. Inafahamika kuwa baada ya mteja kulipia, TANESCO wanatakiwa kumfungia mteja umeme ndani ya kipindi kisichozidi miezi mitatu (3). Lakini...
  3. asingile

    Jiko la gesi kuwaka moto

    The best gas cooker ni West Point. Ila ni shuruti upate West Point original ya France. Kwa brand hiyo utasahau kabisa habari ya majiko maana ni durability yake ni ya hali ya juu kabisa. Nina miaka 10 na West Point ya kioo na halijawahi kuleta shida.
  4. asingile

    Viongozi wa kiislamu wameelewa elimu ya Subra...

    Si busara kuwalazimisha viongozi wa kiislamu waongee mnayoyataka nyie hata kama hawana la kuongea. Pia si lazima viongozi wa imani fulani wakitoa maoni yao kwa njia waitakayo wao basi na wa imani nyingine wafuate mkumbo hata kama hawana hoja kuhusiana na suala hilo. Pia ni vizuri kufahamu kuwa...
  5. asingile

    Ninaposemaga Tanzania bara si salama kusafiri usiku huwa mnanipinga, sasa mmeamini

    Nchi hii imesheheni TV Stations nyingi. Hivyo si rahisi watu wote wakaangalia ITV kwa wakati mmoja.
  6. asingile

    Walimu wanavyohamishwa sekondari kwenda msingi ni uonevu na ukiukwaji haki kila Mtanzania anapaswa kuulani

    Mwana JF aliyeanzisha thread ameamua kupotosha Umma. Mosi, hakuna mwalimu hata mmoja kati ya hao waliobadilishiwa vituo vya kazi aliyeshushwa daraja. Ukiongelea daraja unaongelea cheo na mshahara. Vyeo vyao vimeendelea kubaki vile vile ikimaanisha zoezi hili halina athari zozote ktk cheo na...
  7. asingile

    Kimenuka Rukwa: Waislam watangaza kutokuwa na imani na Rais Magufuli kutokana na hujuma wanazofanyiwa

    Mkuu tembea ujifunze. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ndani yake kuna msikiti na ni Mkubwa. Hivyo hoja yako haina mashiko.
  8. asingile

    Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

    Watachepukia wapi wakati barabara hakuna ni vichochoro tu!
  9. asingile

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Mimi siwakubali "Maaskofu wa Kiislamu".
  10. asingile

    Migomo ya walimu ya enzi ya JK imepotelea wapi?

    Wa vyuo vikuu waligoma pale walipokuwa wanahisi fedha za boom kucheleweshwa. Sasa hivi thubutu.....
  11. asingile

    Migomo ya walimu ya enzi ya JK imepotelea wapi?

    Si hao tu, hata wanafunzi
  12. asingile

    Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba SC, MO kupewa timu leo

    Hao wanachama walipokuwa na sauti ni jambo gani la mafanikio wameifanyia club? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. asingile

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Na amewapa karatasi ya rim...duh
  14. asingile

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Mleta mada ana akili finyu kabisa. Hivi hii report, whatever the content, itatolewa kwa lengo la kuonesha huyo jamaa anayeitwa Lisu alipotosha wapi!? Au ni kwa lengo la kuonesha mikataba ya hapo nyuma ina mapungufu yapi ili itumike kama reference kwenye kurekebisha dosari zilizopo kwa mikataba...
Back
Top Bottom