Recent content by ashy da don

  1. ashy da don

    SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

    Hawa watu wa halamshauri mtawaonea tu!unajua halmashauri zina maengineer wangapi! Kuna wilaya moja ipo Pwani nlifanya nao kazi wale jamaa halmashauri nzim ina maengineer 2 walikuwa na miradi zaidi ya 300 kwa mwaka!hyo ni miradi ya halmashauri peke ake!bado kuna miradi ya sekta binafsi!hao watu...
  2. ashy da don

    DOKEZO Responded Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

    Hili la kuwa mtoto wa mzee Mkila haliniingii akilini,yule mzee ni muislam safi sana yeye na mke wake,hilo jina Derick ni la kikristo inawezekana vipi,mumuache mzee wa watu apumzike kustaafu kwake!
  3. ashy da don

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Anayebisha kuwa uchawi hamna namuona bado hajapitia mahangaiko,Dunia hii tunayoishi unajua kwamba kuna watu wana maono ya kuona hadi message unazochart na mtu mwingine,kuna watu wana uwezo wa kuku scan na kujua hadi pesa utayolipwa kesho,Kuna watu wana maono ya kuona kuwa huko unapoenda ni...
  4. ashy da don

    Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

    Hata kampuni zinafanya hvo pia, wanajenga kwa phase kulingana n uwezo wako,
  5. ashy da don

    Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

    Hizi changamoto za kusumbuana na mafundi mnazitaka wenyewe client, Siku hizi kuna makampuni mengi tu class VII wanajenga hadi nyumba za viwili, kaa nao chini mpatane muingie mkataba, mkiendelea kujenga ki local hvo mtapigwa sana na nasema mtaendelea kupigwa tu!
  6. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    [emoji1][emoji1]Mnato mzee baba, nachojilaumu sikua na zana za wa Congo yani nngechakaza kweli kweli!! Sema nn na jana kaileta imechakazwa, yani kila nikiichakaza nawaza hela zangu alizokula huyu kunguni
  7. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    [emoji1][emoji1] Ndio mkuu, toka jana nipo naye kaja kulala kabisa, kwa mda huu wacha azile ila asichojua ni kwamba moyoni hayupo kabisa!! Nataka nimpagawishe alafu nimuache kwa maumivu makubwa sana
  8. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    MREJESHO [emoji1][emoji1] Deal done, huyu binti nmemla Jana, Kilichotokea ni kuwa toka mwanzoni mwa mwaka huu baada ya kufuma text ikabidi nmpotezee tu, basi mwezi wa tano ule akawa ananitext mm najibu short tu, akakata tamaa, akawa tena anakaa ananitext mara ananzingua nimtumie hela namjibu...
  9. ashy da don

    Gharama za Ujenzi kwa Nyumba za ‘Contemporary’ Vs ‘Traditional’ Roof

    Haya hyo slab usipofanyia treatment inavuja vile vile!
  10. ashy da don

    Gharama za Ujenzi kwa Nyumba za ‘Contemporary’ Vs ‘Traditional’ Roof

    [emoji28]kuna client anakuambia yani mm nimpe hela,mtu anayekuja kunyoosha kidole tu hapana!Watanzania wengi hawaamini katika utaalamu wao wanataka mtu uchafuke au ubebe tofali ukiwa site ndo akupe hela
  11. ashy da don

    Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

    Mkuu yule demu cheupe,kama watu wanavyohonga siku hz mm nlikua nahonga elimu yani nlikua namhonga elimu mpaka basi,mana ndo ktu pekee nlichokua naweza kumhonga[emoji4], imagine alipiga Division one olevo na akawa wa kwanza kwa mabinti!nazani shida yangu ilikua moja tu nilikua rough...
  12. ashy da don

    Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

    Okay kwanza nianze Primary 1999-2005 nilikua napendwa na mdada mmoja wa kuitwa Lucy,na mm pia nlikua nampenda ila sijui ilikua inakuaje nikimuambia nampenda yeye anakataa,ikafka mda yeye akaanza kunambia ananipenda na mm nakataa, Kufika la Saba mwanzoni akatokea crush mwingine alikua dada wa...
  13. ashy da don

    Tatizo la kina cha msingi wa nyumba

    Kwani Graduate hawezi kuwa na uzoefu wa site??
  14. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    [emoji28][emoji28]demu anakula kitimoto imagine kuna siku alikua kilo moja na ugali peke ake kesho akataka tena nkaona hapa nadate na Fisi sio bure!ila demu sio huyo mkuu!
  15. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    Sana braza yani nlimfanyia ugentleman malaya!ila nmemueka kiporo yani yule lazima linda nilitoe!
Back
Top Bottom