Recent content by Ashuray

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujiajiri

    Asante kwa ushauri nimekuelewa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujiajiri

    Nipo dar es salaam
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NIDA

    Duuuh ngoja tujaribu Bahati zetu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujiajiri

    Jamani Nina mtaji kama million moja, nni biashara gani inaweza kunitoa??? Nipo dar, naombeni na mawazo yenu plz, maana kusubiria hizi ajira tutakoma mtaani bora tuangalie cha kufanya.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    yaani watu wanaona si kweli lakini ukiwa na nia.
  6. A

    JamiiForums Tanzania NMB interview western zone

    hapana ndugu hata sijaona simu yeyote nikipigiwa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi sijampotosha ni ushauri wangu tuu sina mengine,,, kama ataona haufai si basi?? si lazima mtu afuate kila ushauri anaopewa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    nakushauri kitu kimoja, kama hutojali, usisubiri kuajiriwa jaribu ujiunge na Oriflame kwa mtaji wa 9000/tshs tu,, ni juhudi zako kuuza product unapata faida, pia bonus utapata kwa mwezi kutokana na cc utazofikisha.. Nitafute kwa no 0762874195
  11. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Oriflame kweli ukiwa serious inalipa, na pia kikubwa uwe na networking,, inalipa hii issue
  12. A

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

  13. A

    JamiiForums Tanzania NMB interview western zone

    jamani tayari wameita??? duuuh nimeshakosa nafasi maana hadi sasa sijaona cm wala email
  14. A

    JamiiForums Tanzania Handshake kwenye Interview

  15. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TANROADS Arusha

    asante sana kwa haba ri hiyo ngoja tujaribu
Back
Top Bottom