Handshake kwenye Interview

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Nimeitwa kwenye interview kesho asubuhi na mapema.
Nahitaji kujua kwamba je kuna umuhimu wowote wa kutoa handshake baada ya kufungua mlango na kuingia ndani, na kukutana na interviewer?
Na usipotoa handshake, ukatoa salamu kwa mbali tu, je itakupunguzia marks?
Mawazo yenu waungwana....
 
marks kwa handshake??? mimi ni professional HR hakunaga marks kama hizo, kwenye interview tunapima 3Cs...Competence, Confidence na Communication skills
 
mkuu kama hutojali ebu naomba ufafanue kidogo hizo 3 Cs...yani ni kwa vipi mnapima hiyo Competence,Confidence na Communication Skills?
I mean ni vitu gani huwa wanaangalia hasa kudetermine kama wewe ni competent,confident na unayo iyo communication skill?
 
nipe email yako
 
SHORTLY,
Competence:
are you aware about job description about that particular Job?
do you know about organization you want to work for?

Confidence:
are you sure of what you speaking for?

hapa mzee wakikuuliza swali kama haujui jibu ts better ukakaa kimya kuliko ukadanganya.

Communication:
here we look on inter-personal and intrapersonal skills
 
Watu kama nyinyi ni wa muhimu sana kwenye hili jukwaa.
 
SHORTLY,
Competence:
are you aware about job description about that particular Job?
do you know about organization you want to work for?

Confidence:
are you sure of what you speaking for?

hapa mzee wakikuuliza swali kama haujui jibu ts better ukakaa kimya kuliko ukadanganya.

Communication:
here we look on inter-personal and intrapersonal skills
Asante Mkuu kwa kutupa ufahamu.
Nimefanya, hakukuwepo na haja ya handshake. So, ninawasubiri kwa ajili ya 2nd round endapo ntabahatika kuitwa.
 
Marketing without handshake? I see!
Yes, I know first impression is very important, but I've seen most of the hiring managers don't like to bother with hands. Remember, you've left more than 50 outside need to be interviewed. So, I don't think kma ina uzito sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom