- Thread starter
- #21
Ahsante kwa ushauri wako mkuu.Tafuta shule yenye masomo ya food and nutrition ukafundishe hku ukiendelea kujipanga kk.

umemeliza mwaka ganiAhsante kwa ushauri wako mkuu.
nimemaliza 2015 mkuu.umemeliza mwaka gani
ahsante mkuu.mungu awe nawe katika kutafuta kwako.
pia soma vitabu mkuu vya self improvement vitakusaidia mkuu.
Nenda Morogoro kilosa kuna jamaa yangu anahitajika vijana 15 kwa ajili ya kuwawezesha kwenye kilimo cha migomba kwa Sasa ana shamba la migomba hekari 9 na vijana 11 bado wa4,, plan yake ni kuwa na hekari 15 na 5 anawakabidhi hao vijana 15 kama mradi wao Ila hao 15 wanakua wanatunza hizo hekari 15 na 5 anawakabidhi hao,, wako camp kila gharama ya chakula na kulala kwake hadi mavuno
MkuuHabarini wakuu
Jamani bado sijapata kazi hadi sasa, nilitangaza hapa hapo awali kuwa nina Bachelor of science in food science and technology mpaka sasa sijafanikiwa kupata kazi. Naomba mnisaidie wakuu maana hapa ninapokaa nakaribia kufukuzwa muda wowote. Naombeni mnisaidie wakuu napatikana kwa 0758 106 501
Nipo dar mkuu.Mkuu
Upo wapi ?
bado mkuuUmepata bhana
Kujiajiri tatatizo mtaji.Jaribu kupita kwenye shule za private wanahitaji walimu sana wa science wakati unaendelea kutafuta ajira au unangalia namna bora ya kujiajiri
Duh! Nimeona hoteli kibao zinatafuta food an beverage manager! Kwani wewe unatafuta kazi gani mkuu? Mbona hoteli za kitalii nyingi tu zinakuhitaji na tena zinalipa vizuri tuu?Habarini wakuu
Jamani bado sijapata kazi hadi sasa, nilitangaza hapa hapo awali kuwa nina Bachelor of science in food science and technology mpaka sasa sijafanikiwa kupata kazi. Naomba mnisaidie wakuu maana hapa ninapokaa nakaribia kufukuzwa muda wowote. Naombeni mnisaidie wakuu napatikana kwa 0758 106 501
Habarini wakuu

Sasa mkuu ninachokushauri, andaa CV zako nzuri kabisa kama tano hivi alafu upeleke kwenye hoteli kama tano ukiomba nafasi ya supervisor wa food and beverage. Am sure hautamaliza mwezi kijiweni. Fuata ushauri wangu plz...Habarini wakuu