Recent content by ASHUA

  1. A

    Acheni ujinga, kejeli humu, JF hawakukosea kuweka Jukwaa la Love Connect

    Mkuu huwezi kuchangia bila ya kutukana?
  2. A

    Acheni ujinga, kejeli humu, JF hawakukosea kuweka Jukwaa la Love Connect

    miaka ya nyuma hili jukwaa lilikuwa poa sana.Hiyo mijitu ya kuponda na kukejeli imeibuka siku za hapa karibuni.Nadhani wengi wao ni hawa kizazi cha Mulugo!! Mimi ni shuhuda rafiki yangu kapata mke mwema hapa huu mwaka wa tatu sasa ndoa yao ipo poa.Hawa wanaotukana na kuponda nadhani ni wale...
  3. A

    Iam looking for a serious boyfriend!

    pengine ana mwaka yupo humu anasoma tu threads za watu kupata uzoefu.Uzoefu kaupata tayari,ame-join na kubandika tangazo papo hapo
  4. A

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Sio lazima ku-comment.Ungeweza kukaa kimya tu kuliko kuandika utumbo wako hapa.Staarabika hata kidogo
  5. A

    Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

    Kati ya threads mbovu na inatia kichefuchefu kwa mwaka huu 2015 hii haitakosa kuwepo kwenye Top 3. Kama msomi kama huyu anaandika upuuzi kama huu,sitaruhusu mwanangu miaka ya baadaye akasome UDSM
  6. A

    Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

    Waume wapo tena wengi sana.La msingi usiwe selective sana.Wapo waliopata waume na wake humu.Hata wewe ukitaka unapata
  7. A

    Nini umuhimu wa bunduki kubwa?

    Sahihi kabisa
  8. A

    Natafuta Mume mkristo

    ni kweli.Huo urefu anaotaka kwa sisi wenye 5'8 imekula kwetu
  9. A

    Mume mwema anahitajika

    habali=habari,naitaji=nahitaji,tayal=tayari Nina hofu hata jina Markia=Malkia. Aina hii ya uandishi utajikosesha wanaume walio makini.Jitahidi kuboresha Kiswahili chako dada yangu. Nakutakia mafanikio mema kwenye tangazo lako
  10. A

    Kweli mtalaka hatongozwi

    Siku hizi jukwaa lina post za ajabu na za kitoto kweli,nadhani ni hawa graduates wa siku hizi hawana kazi kutwa wapo nyumbani na remote control mkononi
  11. A

    Mke anahitajika

    Awe wa dini na kabila lolote.Mimi muislam.Umri wangu 38.Mtumishi serikalini. Elimu yangu ya shahada moja. Umri wake usivuke 33. Maswali yatajibiwa PM Karibuni
  12. A

    Mke anahitajika

    Teh teh teh. Jina limekufurahisha sana mkuu!!
  13. A

    Mke anahitajika

    Wana Jf, Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ndoa. Dini na kabila sibagui. Mimi ni muislam.Umri wangu 38. Nina elimu ya shahada moja. Nakaribisha wenye umri usiovuka 33. Maswali yote yatajibiwa PM. Karibuni
  14. A

    Natafuta mchumba wa kike muislamu umli 19 kuendelea

    mme fulah!! WeweMtanzania kweli? Kiswahili gani unaandika wewe!
Back
Top Bottom