Nini umuhimu wa bunduki kubwa?

Nini umuhimu wa bunduki kubwa?

Jamani mimi mwenzenu napata shida saana kwani bunduki yangu ndogo sina uhakika kama itamtosheleza mwenza wangu.

Nashindwa kushiriki tendo kwa kuhofia kumboa.

Naombeni ushauri wenu.
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, unaweza kua nayo ndogo na ukajua vyema kuitumia na mwenzio akafurahia..
 
wanawake ndo wana majibu hapa, mi ukiniuliza kati ya papuchi kubwa na ndogo ipi tamu ndo ntakujibu
 
Wewe umeshajiathri kisaikolojia kwa kujidharau kutana na wataalamu watakuelezea namna ya kumfurahisha mwanamke na ki pisto, wengne mibunduki mikubwa wanaishia kuumizaga tu aya mambo ni utundu wengi tuna prefer miziki minene ambayo inajielewa hao wenye mikubwa wasiojielewa wanaishiaga kuachia maumivu tu ukitoka hapo mwanamke ukanywe panado. sema mkuu wewe utakua umeshakata tamaa!!
 
tafuta size yako hiyo itakuperepeta buree.....ya moto(imba)
 
jiamini mkuu...sio wote wanapenda bunduki kubwa..cha msingi ni kuongeza mautundu tu..wengine wanafika kilele hata bila kifanywa kufanywa
 
kwa sisi wawindaji kama unawinda swala huitaji bunduki kubwa ila kama unawinda tembo lazima bunduki iwe kubwa, cha ajabu kuna wakati hata swala wanahitaji bunduki kubwa na cha kushangaza zaidi kuna tembo wanahitaji bunduki ndogo, hatari sana.
Sahihi kabisa
 
Tafuta mwanamke uone unauwezo au laa,!! Acha uoga practice makes perfect....
 
tatizo nilionalo ni aina ya wanyama wa siku hizi wanaanza mazoezi ya kutunishia misuli bunduki tangu wanapozaliwa hivyo inafika kipindi wanakua wamekomaa ngozi ngumuu zimeweka na sugu kabisa sasa hapo bila kutumia LMG kazi bure utashangaa wewe unakoki bastola yako mwenzako yupo JF na kasimu kake finally anakuuliza umechoka ee pole sana...cha msingi ndugu wewe jiamini tu alafu jitahidi kutumia style za ukaaji kabla haujafyatua trigger hiyo mikao iwe inaendana na aina ya bunduki uliyonayo
 
Kweni si ina risasi? Kama iko loaded hapo kuua must lakini laweza kua kubwaa kama gobore halafu halina kitu ni bure!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom