Recent content by Asheengai

  1. Asheengai

    Ni mtamu, shape nzuri, lakini namuacha kwa hili

    Alichobaki kukuambia ni kuwa na yeye ni jini...... acha ngono zembe
  2. Asheengai

    Thank You Cocacola I am Humbled !

    Hii imekaavipi wakuu, nimeona kurasa eatv kuwa kampuni ya vinywaji laini ya Coca-Cola inaleta soda zenye lebel ya majina ya watu. Ukweli wa suala hili ukoje?
  3. Asheengai

    Dengue

    Iwapo itatokea una kila dalili za homa ya dengue, dawa ya kukimbilia kwanza ni Panadol; inashauriwa usimeze KABISA Diclopar wala Diclofenac. Iwapo utameza dawa hizi, utakuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha. Upatapo taarifa hii mjuze na mwenzio, imetolewa na wizara ya afya. Homa ya...
  4. Asheengai

    Wimbo wa Taifa

    Kitendo kilichotokea tarehe 1 may 14 siku ya May Mosi mbele ya mgeni rasmi, Rais J.K Cha wafanyakazi wakiongozwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kushindwa kuuimba wimbo wa Taifa, kuchanganya maneno na beti zake. Tuendako kunamashaka ... Nawasilisha
  5. Asheengai

    Nyimbo za Kiluga

    Unguluvi aavozizye u Mose lwe hadimaga e ngole ... we Farau valeshe avantu vane, vambombele imbombo ni Yehova Nguluvi . U Farau ahavadindila avantu vakwe Unguluvi .....
  6. Asheengai

    CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    Nimecheka sana mpangilio namba 23. Bado hasisi kama wao!
  7. Asheengai

    Kitila mkumbo live ndani ya ITV (malumbano ya hoja)

    Anaeongea sasa anajitahidi sana
  8. Asheengai

    Tubadilishane gari

    Ni gx 100, vvti , yr 2000, cc 1980, color black , ipo dar. Kama ni pesa 5.5, ruksa kuiona na kuijaribu .
  9. Asheengai

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Hujaugua ukatibiwa bongo ,ukitaka kujua kuna madaktari bongo uliza waliotibiwa .
  10. Asheengai

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Njoo hospital ndugu, uzuri mwingine mimi ni mmasai pia nitakupa faida na hasara za dawa zetu na za hospital . Ni furaha yangu upone pia nimekuelekeza hospital yetu ilipo.
  11. Asheengai

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Kama daktari, sikushauri sana kuanza kusaka tiba za kienyeji (siko bias nazo ni mtazamo). Tatizo lako ni PID - Pelvic Inflammatory Disease. Linatibika hospital. Kama uko dar, karibu. Ni hosp ya serikali utafanyiwa vipimo na kupewa dawa.
  12. Asheengai

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Yanga 2;1 oljoro, azam 2:1 mcc, simba 0:1 Ashanti
  13. Asheengai

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Yanga 2:1 oljoro , kafunga Ngasa 28'
  14. Asheengai

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Yanga 2:1 oljoro - Ngasa
Back
Top Bottom