Ni mtamu, shape nzuri, lakini namuacha kwa hili

Ni mtamu, shape nzuri, lakini namuacha kwa hili

Status
Not open for further replies.
U r not safe hapo

Ingawa kuachana nae sasa ivi inaweza kuwa umewai au hata ushachelewa.....coz wat most pipo donot know ni kwamba on sex kuna bond ya hali ya juu

Kuna kuambukizina vitu spiritually....ndio maana unaweza ukawa na A mambo yako yakawa yanaenda....ukaachana na A ukawa na B mambo yako yakawa hayaendi

So kuwa makini sana.....ol da best
 
but mtu mwenye hayo makitu na anayaheshimu kama mungu ni hatar.
kila anachofanya ana associate na majini akifanikiwa jambo anakuambia anaenda kuyapa asante, akikwama kwa uzembe utasikia sijatoa sadaka. yaani ukiwa na mtu wa hivyo ukajua kimbia hata kwenye barabara ya mimba uvunjike mguu utajitibu mbele kwa mbele.
by experience utakufa masikini, hao watu kazi yao ni fitina kumtuhumu kila mtu anamloga kila mtu nimbaya wake yaani cjui nikwambieje . mkigombana kidogo akilala usiku akiota kitu anafanya kweli.

mfano, akaota tu kuwa ameolewa na x na ana maisha mazuri ujue atakuacha eti majini yake yamemuotesha. halafu siku akifanya jambo ambalo ni baya anajua uta maind kabla hujafika majini yatapata (anaigiza) akitaka kitu anayapandisha ndipo anakitaja BE VERY CAREFUL MY DEAR
 
Kwahiyo umefanya na majini....???
Ha ha haaa! Mkuu hata sijui maana sina elimu hiyo. Hata sijui yanakaa sehemu gani, huwa nawaza mtu anaposema ana majini sijui anayaweka wapi!
 
Toka wewe na ujinga wako hapa, umelazimishwa kufungua uzi huu! Au we nawe una majini!


Ungeweka heading namna hii [h=2]"Ni mtamu, shape nzuri, tako-tako, lakini kwa majini yake namuacha"[/h]
nisingefungua ujinga wako
 
Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.

Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6x6. Aisee ni mtamu ile mbayaaaa.

Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.

Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.

Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.

Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.

Manina ww hebu nipe number yake nikayatoe hayo majini nakisibir pm alaaa mwanaume mzima unaogopa viumbe wenzio
 
Mtoto wa kiume kuchambana na mtoto wa kike nimegundua ni kujidhalilisha tu.

Halafu oooh FaizaFoxy NINI sijui nini. Si hayo, sasa unajuwa kuandika sawa japo neno hilo, zamani ulikuwa ukiandika "kujidharirisha".

Nimefurahi kuona kuwa kazi yangu ina tija.
 
Last edited by a moderator:
Halafu oooh FaizaFoxy NINI sijui nini. Si hayo, sasa unajuwa kuandika sawa japo neno hilo, zamani ulikuwa ukiandika "kujidharirisha".

Nimefurahi kuona kuwa kazi yangu ina tija.

Unajeuri sana wewe mwanamama!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom