Recent content by ashbuton grove

  1. A

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania imeshuka kwa 20% kulinganisha na Franca ya Burundi

    CCM na serikali hapana mnakotupeleka sio kabisa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana Kwa serikali yetu dhidi ya Sheria ya mpya ya mafao

    Huu ni wizi tatizo sisi watanzania waoga wapuuzi ndo maana watawala wana kibri na jeuri ya kufanya lolote hili jambo kwa umoja wetu tukiamua kulikataa halitokuwepo
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Album za makundi ya wasanii ambao mpaka leo ni best katika moyo wangu

    Bongo flava ilikuwa poa sana miaka hiyo sasa hivi kusample kumezidi sana mpaka identity imepotea kwa mwendo ule labda ingepata utambulisho wake ila kwa sasa mmmmh umepoteza dira,studio zimekuwa nyingi nyimbo hazina ubora bora liende ukisikiliza bongo flava kama kwaito au naija flava,hakuna tena...
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli dunia inaelekea mwisho, Mungu wetu tuhurumie

    Ungenawa mkuu bwawa unaishia kuliona lile
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Line Tigo pesa.

    Kwa voda mpesa nipm nikuuzie laki mbili tu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Laini ya m-pesa

    Piga namba hii tufanye biashara ninayo lain ya mpesa(TILL) 0753563368
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu

    Vp hupangiwa na serikali?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Laini ya m-pesa

    ngoja nikuache tu,till nauza laki mbili ambaye anahitaji ani pm
  9. A

    JamiiForums Tanzania Viwanja bomba mbili Dar

    mmmh mji mkubwa huu khaaa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Laini ya m-pesa

    mkuu ingekuwa busara tu ukalog in na kuanzisha uziwako na wewe
  11. A

    JamiiForums Tanzania Laini ya m-pesa

    Bado zipo safi kabisa till na second sim zake anayetaka ani tumie tu PM
  12. A

    JamiiForums Tanzania Laini ya m-pesa

    laki na nusu hapana mkuu leta mia mbili nikupe fasta ukafanye kazi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Line ya M-pesa unauzwa!!

    angalia pm mkuu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Laini ya m-pesa

    Mkuu mtendaji wa kaya asante,hiyo pesa hapana leta mia mbili kwa kila nikupatie till zipo tatu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Line ya M-pesa unauzwa!!

    mie ninazo tatu naziuza nipo dar anayehitaji ani pm niko dar
Back
Top Bottom