Nakumbuka kuwa Prof. Lipumba aliwahi kusema kabla ya uchaguzi wa 2005 kuwa JK hafai kuwa kiongozi wa nchi maana ni mtu wa mzaha mzahaa toka angali anasoma pale UDSM. Nilifikiri ni kampeni za urais, sasa naelekea kuamini kuwa alikuwa sahihi. Hivi kweli unahitaji kuwa msomi sana kujua kuwa JK hana...
M/kiti hana vision katibu ndio huyo Makamba, mzee wa taarab what do you expect? gabage in gabage out! Ni sawa na average tennis player anapojaribu kucheza na pro kama serena williams, udhaifu utakuwa wazi mwanzoni tu! Sasa Makamba and co its high time to refer to mwl JKN statement ...kuongoza...
Mtu akiniambia kuwa kabla JK hajawa rais aliwahi kufanya nini mpaka wa tz mkaona anawafaa kuwa rais wenu, nitawaelewa! Otherwise mkubali matokeo maana ndio price yakufanya maamuzi makubwa bila kufikiria sana! Watanzania walidanganywa na kampeni za redet (mkandara) na bbc swahili (tido muhando)...
I do agree Nyerere was not an angel but he was exceptional, I agree he failed somehow when he chose socialism over capitalism but there is one thing that will distinguish him from other pathetic african leaders of modern Tanzania and Africa in general, that is he walked his talk! He hated...
Kiongozi ni reflection ya watu anaowaongoza, kama hawafai msingemchagua, au kama mlimchagua bila kufahamu, mtoeni, kama hamuwezi kumtoa maana yake anawafaa!
Kuongoza nchi si suala la kukimbilia, unapotaka kuwa kiongozi basi lazima uwe mtu mwenye vision, na mtu mwenye values na principle na uwe tayari kufa kwa kuamini values na principle zako ambazo ni kama guides zako ili uweze ku-realize vision yako. Sasa leo hii watanzania mna lalama ohoo JK nchi...
Nchi kuoza ni fact, hata vipofu wanafahamu swali ni what is the solution??? Binafsi naamini mpaka yafanyike mapinduzi ya kijeshi kama Uganda na Rwanda ndio tuweza kuikoa nchi yetu
Tatizo la Tanzania ni kukosa kiongozi mwenye mtizamo wa kimapinduzi na maendeleo ya taifa letu, mengine yote ni ya ziada tu! Wala hatuhitaji viongzi wengi tunahitaji mmoja tu mwenye vision basi, kama alivyo Kagame kwa Rwanda au Museveni (japokuwa naye sasa keshanogewa)
Arsenal ni timu nzuri lakini tuna matatizo kidogo ya umaliziaje, wa create nafasi nyingi sana lakini magoli machache sana ndio yanayofungwa, mzee wenger anhitaji striker mmoja wa kueleweka kama Droga kwa Chelsea, Torres kwa Liva au Rooney kwa Man u!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.