Mheshimiwa Rais Kikwete anaipenda Tanzania?

Kihistoria huyu ndo Raisi aliyesafiri zaidi nje ya nchi kwa kipindi kifupi cha utawala (4yrs) wake????????

Alinifurahisha sana alipokuwa Jamaica, amekaa kwenye bembea halafu anaomba ujuzi wa kupiga mziki wa ragae.......:rolleyes:
 
pengine anaipenda jamani, hivi Rais ni mtendaji Mkuu? kwani kuna lipi kaliacha ambalo halitekelezeki mpaka uwepo wake? yeye anapangiwa ratiba na ikulu na anaifuata. acheni kumsemasema our honourable Kikwete
 
anaipenda sana ndiyo maana anazunguka huku na kule kututafutia riziki ulaya america asia na mashariki ya mbali.........hiyo yote ni kwa sababu anaipenda sana tz na watru wake vinginevyo mngemuona baba mwenye nyumba anakaa tu nyumbani bado watoto mngekufa njaaaa..............yupo kututafutia riziki majuu kwa hiyo msihofu.........
MJENGA NCHI NI MWANANCHI NA MBOMOA NCHI NI HUYOHUYO MWANANCHI...
 
Kikwete anaipenda Tanzania. Utaachaje kuipenda nchi ambayo watu wake wanaruhusu kuswagwa kama ng'ombe, na wasichukie wala wasichukue hatua?
 
bibijulai2208.jpg
 
hahaha
rais anaipenda jamaica, kwanza kuna ma bembea kibao tu mazuri..hapa bongo hamna hata bembea moja;
si mliona jinsi alivokuwa ana enjoy alivokuwa jamaica..yaani anasikia burudaaaani..
hapa nchi imeingia choo cha kike...
 
anaipenda bagamoyo ndio maana unaona bandari,,uwanja wa ndege,,mahoteli yote yanajengwa magamoyo sasa kama ni sehemu ya tanzania kazi kubwa
 
Kiongozi ni reflection ya watu anaowaongoza, kama hawafai msingemchagua, au kama mlimchagua bila kufahamu, mtoeni, kama hamuwezi kumtoa maana yake anawafaa!
 
haipendi na ndio maana anaenda nje ya nchi kuitaftia soko; kwani nyie hamjui nchi iko sokoni?
 
toka enzi za mwalimu kikwete anapenda urais zaidi kuliko nchi yake ndiyo maana hana hamu ya kukaa ma kusikiliza matatizo ya wananchi walioko vijijini anaishia mjini ambako nako wanapopolea mawe misafara yake......................amechoka anachofnaya saaizi ni kuchukua chake mapema
 
Back
Top Bottom