William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Wasalaam waleykum ndugu zangu, wakati Tanzania tukiendelea kupitia kipindi kigumu sana cha kukosekana kwa vision na maadili ya uongozi kwa viongozi wetu wengi wa juu, nationally ni vyema tukumbuke tulikotoka na hasa tukiangalia works za Baba wa Taifa letu, Mwalimu Nyerere.
- Labda tunaweza kuelewa au kugundua where did we go wrong as a nation, ninawakaribisha mabingwa wa history, wachambuzi wa peeches, na all Mwalimu's works as a leader na pia as a private citizen, baada ya kung'atuka.
Ahsanteni.
William.