Recent content by asasa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mama sasa nimekua, acha kucheza vigodoro huku unatikisa Makalio

    Mbona kama unatusema sisi tunaosoma bandiko lako? Kumbuka sisi sio, mama yako umemuacha huko kwenye vigodoro mfuate ukamueleze anaweza akakuelewa. Ila najaribu kukivaa kiatu chako naona ni kikubwa na chenye maumivu makali sana moyoni. Pole
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, wewe siyo baba yangu, na hutaruhusiwa kwa lolote dhidi ya Mali zangu

    Duh amekukosea nini kikubwa hivyo hadi kumuombea kifo kibaya Ila hakuna atakaye ishi milele
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Siku hizi hadi wabusti na supu ya pweza, ndio maana hata wale wamama wanaouza karanga mbichi zilizochanganywa na nazi huko ma barabarani wameongezeka.
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia isiyokuwa na mwanaume (baba) huwa inapwaya.

    Lile ulipangalo wewe sio alipangalo Mungu nilitamani sana watoto wangu walelewe na baba na mama lakini mapenzi yangu hayakutimia Mungu akamchukua mume wangu watoto wakiwa wangali wadogo,nilisimama kama mama hadi sasa mtoto wa mwisho aliachwa akiwa darasa la kwanza sasa yupo kidato cha pili na...
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Wanaume wenyewe siku hizi hata hizo mbegu zakiume wanazo basi, wamebaki kuuziwa dawa za kuongeza nguvu za kiume tu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

    Mwaka mmoja kabla nyie hamjafutiwa mitihani yenu
  7. A

    JamiiForums Tanzania NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

    Hata jibu lake pia linaukakasi ila unajiona anajuaa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

    Huyu anaona kwamba yeye na ITV ndio wanaijua ROMBO kuliko sisi wazawa, inabidi tumuambie asante kwa kuitangaza Rombo japo kwa mabaya ila wazawa tunaijua vizuri
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

    Na wewe nenda kwenu ukatambike
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

    Kama ni uchwara mbona hawamkamati siku zote anawatusi kila aina ya tusi linalomjia?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yataifisha simu za Tsh. Milioni 700 zilizokamatwa mpakani Rombo

    Hivi huo sio uhujumu uchumi kweli? Ila haiwezekani arejeshewe ameanza yeye serikali imeamua kumalizia. Mwana kulitafuta mwana kulipata
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Kichagga zinaitwa "ngoda" sijawahi kuziona popote zaidi ya Moshi. Zinaitwaje kwa kiswahili?

    Umeisahau Kahe ziko nyingi sana kule wanaziita Ndaraa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gonjwa la sukari Tanzania

    Mkuu hapo naona umeisahau kansa na magonjwa ya moyo maana sasa hivi hayo ndio yanaongezeka kwa kasi, gharama za matibabu ni kubwa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa DILLAXCOM ni wa matapeli?

    Muosha nae huoshwa ,cha ajabu ni kwamba wewe umeoshwa kabla lengo lako la kuosha halijatimia. Poleee
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mlionunua ardhi mkoa wa Pwani na kisha mkaitelekeza tegemeeni haya...

    Bagamoyo wanaiibia hadi serikali itakua wewe mtu binafsi, mimi ninakiwanja pale Ukuni kimepimwa na hati ninayo ila kulitokea tatizo la mipaka nilipoomba kufufua mipaka nashangaa anaeonekana nimepakana nae katika ramani ni tofaututi na aliyepo kiuhalisia maana katikati kuna kiwanja kingine...
Back
Top Bottom