Recent content by Asa'rile

 1. Asa'rile

  Kuanzia leo mimi sio wa kawaida..

  Ok. But Hyassin, inawezekana umemiss kitu kimoja tu........having a True living GOD. ukimpata huyo.....aisee! uuuuwi !
 2. Asa'rile

  Umuhimu wa kukumbuka siku ya kuzaliwa (birthday)

  wakati unazaliwa, mama yako alinusurika kufa. So shukrani kwa wazazi, ni very important. After all, watu wenye tabia ya kukata keki na kulisha washikaji na mashosti, wakasahau kabisa tabu aliyoipata mzazi wakati yuki leba, huwa wana tabia zinazofanana, ..mbaya
 3. Asa'rile

  Kuna uhusiano gani wa chumvi ama mkaa kuzuia pesa zisipokwe na chuma ulete

  MALAKI 3:10....................................
 4. Asa'rile

  Magic FM na Salum Mkambala

  Mini naona kitu tofauti sana kwake. ninachoona ni uchangamfu alionao. pia his a gentleman.....
 5. Asa'rile

  Hii dhana ya SINGLE MOTHERHOOD, ni HILA za shetani, OGOPA

  jana nilikuwa kwenye ministry moja nje kidogo ya Dar, nikawaona wadada fulani (niseme ni Majahidina wa Kikristo) wanaponda usawa wa jinsia, wanaponda u-single mother hood, wanapinga usenge -usagaji, hata vazi la suruali kwa wanawakee !!!!!!!!! du nikaona kweli hawa ndo wapepiiiiitwa na wakati...
 6. Asa'rile

  Hii dhana ya SINGLE MOTHERHOOD, ni HILA za shetani, OGOPA

  utanifahamisha mkuu kitakachoendelea pliiiiz
 7. Asa'rile

  Hii dhana ya SINGLE MOTHERHOOD, ni HILA za shetani, OGOPA

  Karibu zaidi ya miezi miwili sasa, nimesikia kwenye vyombo vya habari (zaidi sana Redioni) matangazo ya kumtafuta Singlemother Bingwa au bora, jasiri, hodari ! ili aweze kutunukiwa tunu ama zawadi. Watanzania wengi hawajui nini maana yake hii kitu. Katika Spiritual view, Mwenyezi Mungu...
 8. Asa'rile

  Hujuma jengo TANESCO: Watu wachanganya maji na mafuta kwenye mtambo wa kushushia vitu vizito ili jengo lisibomolewe

  Kumbe, Morogoro Road, ziko Tatu !!!!!, ya kwanza, Kutoka Posta (siyo pale askari monument), ikapita kariakoo-kigogo , kwa shehe yahya huseni , Ubungo maziwa...nakuendelea. Ya PILI. kutoka posta centre - Faya magomeni mikumi (sio mapipa) mburahati, maziwa Ubungo mwisho na kuendelea, pale...
 9. Asa'rile

  Hujuma jengo TANESCO: Watu wachanganya maji na mafuta kwenye mtambo wa kushushia vitu vizito ili jengo lisibomolewe

  "Mhandisi Ndyamukama Julius, kuvunja sehemu (siyo sehemu tu....jengo zima) ya jengo la Tanesco na lile la Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ili kupisha ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya Ubungo." Juzi, Mhandisi huyuhuyu baada ya kutambua kwamba alijikurupukia kutangaza bomoa ya ubungo...
 10. Asa'rile

  Suluhisho la kupunguza uzito na kitambi

  ndugu Mimi, shwari lakini? ...nahitaji sana kupata anuani kamili ya hawa KING, najua waweza kunisaidia. plz tell me in 0716 7 666 40 au 0754 942779
 11. Asa'rile

  Niletee sarafu za Nyerere za 1976,1979

  Natafuta sarafu za shilingi moja-moja, za Nyerere za mwaka 1976, 1979, upande wa nyuma wa sarafu hizo,una mkono ulioshikilia mwenge. Ntakupatia shilingi milioni moja hapo hapo. Pia nina sarafu ya kijerumani ya silver makuti, za mwaka 1944-89 0716 7 66 640
 12. Asa'rile

  Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

  1. Mh Rais, sitisha hili zoezi la bomoa bomoa kwa makazi na nyumba za wanadamu. Hakuna mtu anayependa kuishi kwa tabu na shida. Watu wamepoteza maisha tayari kwa kihoro, na mashinikizo ya damu; hasa wazee. Watanzania wasiku-reflect tena kuwa wewe ni muharibu wa makazi ya...
 13. Asa'rile

  Rais Magufuli amemteua Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

  Yaani, wala halikuingia ndani ya mioyo ya watu
 14. Asa'rile

  Rais Magufuli amemteua Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

  WOOOOOOOW !! UPANGA MWINGINE HUO , Hakuna aliyefikiria hilo japo kwa malio
Top Bottom