Niletee sarafu za Nyerere za 1976,1979

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Natafuta sarafu za shilingi moja-moja, za Nyerere za mwaka 1976, 1979, upande wa nyuma wa sarafu hizo,una mkono ulioshikilia mwenge.

Ntakupatia shilingi milioni moja hapo hapo.

Pia nina sarafu ya kijerumani ya silver makuti, za mwaka 1944-89
0716 7 66 640
 
Uko wapiii
 
Sarafu za Kenya zenye picha Simba mbili zikiwa zimesimama kwa miguu yanyuma ninazo aezinunua aseme bei nikilidhika atapata 0688787828
 
Ngoja nikaangalie kwenye sarafu zangu nilizochukua kwa babu yangu.

Andaa mzigo Wa Pesa maana naamini sitazikosa hizo.
 
Biashara ya kipumbv kama hii.....
Mkishampatia tegemeeni Maneno tu....
Oh sjui mnunuzi kachomoa ....Mara sjui Mwenge umeangalia chini.....bllshyt

Ova
 
Haka kautapeli kakizamaaaaaniii kanaanza kurudi
Ati shilingi kwa milioni
Aseee!!!
Angalia tu wasije wakakuchoma kama mishkaki ukizingatia na vyuma vilivyobana kwa sasa.
Mmmhhhh!!!!
 
Natafuta sarafu za shilingi moja-moja, za Nyerere za mwaka 1976, 1979, upande wa nyuma wa sarafu hizo,una mkono ulioshikilia mwenge.

Ntakupatia shilingi milioni moja hapo hapo.

Pia nina sarafu ya kijerumani ya silver makuti, za mwaka 1944-89
0716 7 66 640
ninazo mkuu uko wapi
 
Back
Top Bottom