Recent content by asap kajanja

  1. asap kajanja

    Wadau naomba msaada

    ni waaminifu ila tatizo ni low quality
  2. asap kajanja

    Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

    achana na takwimu za kijinga ni wangap hapo kenya wanaweza kuipata hiyo pesa kwa mwaka au unaniongelea data za kupika ambazo sio real life data za kujifurahisha huku unashindia kahawa per day
  3. asap kajanja

    Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

    GDP= myths 70 IQ+low mental disability= walala hoi
  4. asap kajanja

    Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

    kuwa na hq alafu unaishi kwenye cave tena chini ya dollar moja per week hizo hq zinapambanaje na umasikin wako
  5. asap kajanja

    Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

    inferior complex huwezi kuelewa kwani lazima tuwe sawa na nyie kwani nini maana ya kenya au tanzania au nini maana ya family sio lazima tuwe sawa na nyie tanzania ni nchi nyingine ishini kwa mitaala yenu nasi tunafata kanuni zetu . kwani ukiongea kingereza utaonekana superior wewe kwa...
  6. asap kajanja

    Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

    mental disease ya waafrika mojawapo ni wewe unaweza kujua english ndio kutoka kimaisha . huo upumbavu unao ongea ndio unao tufanya waafrika tuendelee kuonekana vilaza kwenye western world . unafikiri wewe uko karibu na uk kuliko france ama germany au unaongea english ili upate msaada
  7. asap kajanja

    Kenya kurusha Satellite anga za juu kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa

    wanarusha mdoli tu huo angani sijaona Satelite hapo ila wamepigwa hela kwa kuuziwa hicho kikopo eti satellite [emoji16][emoji16] . siku wakirusha gps mnitag
  8. asap kajanja

    Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

    kama hakufoji basi ni mjita
  9. asap kajanja

    Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

    hayo ni majina ya kabila la wajita/wakwaya 'nya' hutumika kwa wanawake na 'ma' kwa wanaume mfano nyasatu =jinsia ya kike' masatu= jinsia ya kiume nyafuru =jinsia ya kike' mafuru jinsia ya kiume kwa hiyo usishangae majina mengi ya kike yanaanzia 'nya' na ya kiume huanzia 'ma'
  10. asap kajanja

    Kwanini nembo ya kenya ina picha ya madume ya simba mawili tu

    simba koko hao wametoka kula nyumbu then wanamendea jogoo. jogoo nae kajihami kwa shoka :eek::eek::eek::eek::eek:
  11. asap kajanja

    Kwanini nembo ya kenya ina picha ya madume ya simba mawili tu

    kumbe kuku pia anaweza kushika shoka:D:D:D:D
  12. asap kajanja

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    kupatwa kwa chuma chakavu :D:D:D:D
  13. asap kajanja

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    acha tuone hiyo wakanda taifa fake litawasaidia vipi wakenya wa turkana kuacha kula mizoga ya punda sababu ya njaa kali
  14. asap kajanja

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    hahah unachekesha sana sasa karachi nao mji au unafikiri hizi gdp za kuandikwa kwenye wikipedia ndio real life yaani hapo karachi bora hata maisha ya nairobi
Back
Top Bottom