Binafsi napendekeza , pindi uchaguzi utakapofanyika mbowe aendelee kuongoza, maana chini ya uongoz wa kamanda wa anga, chama kimekua sana ndo maana ccm wana ha ha kila siku, na ikumbukwe kuwa ccm kwa sasa wana copy na ku paste from chadema kama kutumia helicopter kwenye kampeni, naona vazi lao...