Du Bois ideas
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 427
- 83
Habari Great Thinkers!
Kwa kuwa Chadema kimeonekana kupitia hatua mbali mbali za misukusuko na bado kina himili, na kwakuwa ndani ya chama Tawala sasa hakuna wa kumunyoshea kidole mwenzake naye akanyamaza. Naamini Chadema wataendelea kuwa Taasisi Imara kutokana na na Mambo yafuatayo;
1. Sera zao zinaendana na hali halisi ya Mtanzania na wanatumia akili sana kuzieneza, nina maana nimewasikiliza kwa muda mrefu wanatumia hoja kueneza sera zao bila kujalai uchache wao ndani na nje ya Bunge
2. Chadema wako makini sana kwa kila wanalolipanga na kulifanya mara nyingi hawakurupuki. Sina shaka nao katika hilo
3. Safu yao ya Uongozi haitikiswi kirahisi, wanaaminiana na wanalengo Moja, wamejitahidi kumdhibiti adui yeyote kwenda kuboa safu yaoo hasa ya Makao makuu. Na kwa kuwa mpaka sasa adui wao hajabomoa safu ile wataendelea kupeta.
4. Taasisi yoyote ile kuonekana imekuwa imara pamoja na mambo mengine lakini pia hupimwa katika maamuzi wanayoyafanya. Chadema katika maamuzi yao wanayofanya sijaona hata moja lililowaathiri mengi wanafanikiwa. Mfano wamefukuza Madiwani kule arusha lakini pia wamerudisha kata zote. Wamefukuza wale vijana mamluki lakini hawajateteleka. Wanahitaji kupewa pongezi.
5. Ndani ya chadema kuna demokrasia lakini nilivyowasoma viongozi wa juu hawapendi siasa za kihuni na za kitoto ndo maana wanaofanya hayo wanakutana na moto wa kufuu na kutolewa nje ya chama mara moja.
Mnyongeni, mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chadema wako vizuri katika kila nyanja zote na ninaamini kwa uongozi uliopo wataendelea kuwa taasisi Imara katika nchi hii ya Tanzania. Ni kweli kama binadamu wanamapungufu yao lakini kwa asilimia wako vizuri. I like them and the way they practice politics.
Ni vuziri vyama vingine vya upinzani wakajifunza kutoka kwao hasa CUF nilazima wajivunze kutoka chadema jinsi wanavyoweza kudhibiti system isiharibiwe. CUF waliona wamefika Mbinguni kumbe walikuwa bado wako duniani wakamuachia adui naye akawapiga. Mpaka sasaa haijawa rahihi kwa Chadema. Naomba kuwasilisha.