Makada wa CCM watatu (3) waliopinga Mahakamani matokeo ya Ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), mmoja wao Happy Kivuyo akiwa na wenzake 7, jana katika mkutano wa hadhara wa mgombea udiwani kata ya Osunyai Jirusha jini Arusha wametangaza kuhihama chama hicho na kujiunga na...
BARAZA la waislamu {Bakwata}wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wamewaonya wanasiasa kuacha kutumika kutoa matamkoa anayoweza kuleta machafuko nchini.
Kiongozi wa Bakwata wilayani humo,Sheikh Haruna Husen alitoa Tamko hilo mbele ya viongozi wa dini hiyo katika msikiti wa mji Mwema ,Usa River...
Mfanyabiashara maarufu wa Madini ya Tanzanite mkazi wa jijini Arusha,Eliakimu Daud Molle(45),amepandishwa kizimbani katika mahakama
ya hakimu mkazi Arusha akikabiliwa na shitaka la kufanya utapeli na kujipatia madini ya thamani ya shilingi milioni 15 kwa njia ya udanganyifu.
Ilidaiwa...
Mfanyabiashara maarufu wa Madini ya Tanzanite mkazi wa jijini Arusha,Eliakimu Daud Molle(45),amepandishwa kizimbani katika mahakama
ya hakimu mkazi Arusha akikabiliwa na shitaka la kufanya utapeli na kujipatia madini ya thamani ya shilingi milioni 15 kwa njia ya udanganyifu.
Ilidaiwa kuwa...
CHAMA cha Mapinduzi ccm jimbo la Arusha,,kimeanza mchakato wa kusaka mgombea ubunge kijana atakayechuana na mbunge wa sasa godbless Lema.
Aidha tayari mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite Thomas Munis, anatajwa katika kinyang'anyiro hicho baada kuonekana walioonyesha nia hadi sasa ni wazee na...
CHAMA cha Mapinduzi ccm jimbo la Arusha mjini ,kimeanza mchakato wa kusaka
mgombea ubunge kijana mwenye uwezo wa kuchuana na mbunge wa sasa Godbles Lema,,baada ya kubainika kuwa
kuwa walioonyesha nia hadi sasa hakuna mwenye mvuto wa kumng'oa
waliooneysha nia hadi sasa niwazee.
Taarifa...
Kuna taarifa na mpango wa chini chini unaofanywa na makada wa ccm kumwomba mfanyabiashara kijana wa madini Thomas Munis kugombea Ubunge ,baada ya kuonekana kada Philemon Molle aliyejitokeza ni mzee na hawezi kumwangusha Lema.
Chama cha mapinduzi, CCM, jimbo la Arusha, kimeanza mchakato wa kusaka mgombea ubunge kijana mwenye mvuto na ushawishi kwa wananchi ili kulikomboa jimbo la Arusha mjini, na tayari mfanyabiashara wa madini, Thomas Weraufoo Munis ameanza kutajwa katika kinyanga'anyiro hicho.
Taarifa za ndani toka cc ya ccm, zinadai kuwa Lowasa hata akifurukuta vipi kwa sasa ccm haiwezi kumpitisha kutokana na masuala mbalimbali yanayomkabili.habari za ndani zimedokeza kwamba jina lake litakatwa mapema kabla halijaingia kwenye uchaguzi wa wajumbe,ambako anadaiwa kuwa na nguvu ya zaidi...
TEAM Lowasa inafanya kila njia kuhakikisha inaungwa mkono kila sekta,kwa sasa Team hiyo imewaweka mfukoni baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari na waan dishi wao ili taarifa zake ziweze kutoka kwenye magazeti hayo bila kugugumizi tena kwa uzito wa aina yake huku taarifa mbaya isipewe...
Pamoja na mbunge wao Mrema kuwapigania watu wa mji wa Himo wamekosa shukrani,wamemsaliti mbunge wao na kukimbilia vyama vingine kikiwemo cha mapinduzi ,kwa mantiki hiyo, TLP Himo ni kama imefutika .
Nimekuwa nikifuatilia kwa kila toleo la gazeti Jamhuri lakini kwa takribani matoleo zaidi ya kumi ya gazeti hilo yamemkosoa waziri Nyalandu kwa kumshambulia ,hivi hakuna habari zingine za kuzifuatilia ispokuwa ya Nyalandu?
Nabii maarufu wa kanisa la ngurumo ya upako,Geor Davie amevunja ndoa ya msaidizi wake baada ya kumppora mke wake.
Wiki hii mahakama ya Arusha imethibitisha pasipo shaka kuwa Nabii huyo alikuwa akizini naambaye alikuwa mke wa msaidizi wake. hivyo ilikubali kuvunjika kwa ndoa hiyo .
serikali imeombwa kukifungia kiwanda cha kutengeneza vyandarua cha A to Z kilichopo kisongo ,Arusha kufuatia kufururiza wa matukio ya kuuawa kwa wafanyakazi wake kwani tangu kuanza kwa mwaka huu wafanyakazi takribani watano wamefariki dunia katika mazingira tata.
KIWANDA hicho kimeingia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.