Recent content by Arusha Kilimanjaro

  1. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Ahsante sana Babu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

    Huwa nawashangaa sana mabinti wanaolewa kusema kuwa Wanataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu😂. Kunapahala kwenye bible imeandikwa Mashetani nayo yanahofu hadi yanatetemeka...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Am done nimechoka sasa natakiwa kuwa huru na imeshakuwa hivo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Kile kitendo cha kuandika tu hapa..Nimeuona moyo ukipata nguvu tena ya kusimama na kuachana na hili jambo.. Nimejifunzq uzinzi ni addiction mbaya sana inayotumika na adui haswa ukizingati Mazingira yangu ya kuvutia zaid wake za Watu ndo ukakasi kabisa maana wasio olewa na single mother...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Ahsante kwa ushauri
  6. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Mkuu wife ananipa kila ninachotaka
  7. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Hapana am tired.. Nafahamu sifanyo kitu kinachofaa jambo moja ni kwanini naendelea...Jana tu nimeistablish uhusiano mpya na nikawa najiuliza nitaendelea hivi mpaka lini na kwanini wake za watu. Am truly tired of this shit.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena. Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu.. Naishi Mkoa wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

    Ili wahi nitokea hii kwa Mother Confensor miaka hiyo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

    Hii inaukweli aslimia 100 % Nachukia kulisema hili hata muda huu nimetoka kufanya hilo na mke wa Mtu ambae anaheshimika na kila anaemtizama .. Soon nitakuja uzi wa confession.. Ni jambo nilis
  11. A

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Goaaaal
  12. A

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Dah
  13. A

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Dah
  14. A

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Gooooal Messi
Back
Top Bottom