Recent content by artorius

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa M/Kiti wa CCM na Rais wa Nchi, hawa hapa wangekuwa jela kwa kuvuruga amani

    Ila huyu mtoto wa Malecela nafikiri siyo kosa lake,He is unconcious
  2. A

    JamiiForums Tanzania Vision Tanzania: Dr. Slaa Atembelea Shirika la Umeme Marekani

    Chonde chonde dkt.slaa unamtisha wasira
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    Mbona Nape huji kuchangia hapa?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    No place for emotions here,tunasubiri urudishe hiyo kadi la sivyo utakuwa umejishushia heshima sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    This is Africa,and this is how we are delivering democracy,Take it or Leave it! Muswada lazima urejeshwe bungeni,Hii nchi siyo mali ya CCM na katiba siyo mali ya CCM. Hata Chikawe alimtisha Jk asisaini muswada,lakini hali ni tofauti,Hamuwezi kupiga kura ya kutokuwa na iman na Rais kwa sababu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu ni mzandiki, Absallah Bulembo tumwiteje?

    Kutokana na kauli ya Jk,Wabunge wote wa CCM na Maspika sijui tuwape jina gani,kwa kifupi,SHAME ON YOU!!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

    Hii kasi ya Dr.Slaa ni kubwa sana.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    Inaonekana 2015 CCM bye bye,hizi harakati siyo za kawaida
  9. A

    JamiiForums Tanzania U.S. Government shuts down

    just now.source cnn.
  10. A

    JamiiForums Tanzania U.S. Government shuts down

    U.S.President has constitution duties,so he will remain in office during the shutdown.His salary is not reliant on the annual fight the congress has over funding the federal government. He will continue to receive his paychecks as schedule.
  11. A

    JamiiForums Tanzania U.S. Government shuts down

    U.S. President and members of Congress will continue to receive their paychecks despite federal government shutdown.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Anaendelea Kutafuta Ufumbuzi Wa Tatizo La Kiuchumi. Makampuni yaahidi Maelfu ya Ajira!

    Dr Slaa ana-influence kubwa,naamini hapo Atlanta atawashawishi wawekezeji wakubwa kuja Tanzania
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

    Safi sana,sasa tunarudi kwenye katiba
  14. A

    JamiiForums Tanzania Polisi, aibu hii mpaka lini? Mkenya wa Dk. Ulimboka afichua mapya kortini Dar

    ''Serikali yangu hahihusiki kumteka na kumtesa daktari Ulimboka''....jK Katika hili tunasema Serikali imemeza moto
  15. A

    JamiiForums Tanzania Gazeti la RAI kutoka kila siku kwa muda wa siku 90

    Excellente!!
Back
Top Bottom