......na hata sasa ni Rais wa mioyo ya watanzania, Ndiye anaongoza nchi maana akiona jambo haliendi vizuri hawezi kufumbia macho.
Mungu amlinde Rais wetu Dr W Slaa
Daaah ha ha ha haaa! Hadi rahaaa, Rais wa kweli wa mioyo wa watanzania Mh sana Comrade W. Slaa.
Tunajua huko US umewakilisha vema interests za watanzania na maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania.
Mungu aendelee kukulinda tunakuombea
CCM imetufanyia watanzania vitu vya ajabu sana sana. Kutuanzishia siasa za kidini kwa minajili ya kutafutwa kuungwa mkono na makundi ya kidini, kuasisi na kuhubiri siasa za ukabila na ukanda.....
Ktk hili pamoja na yote ila watanzania wameendelea kuwa wamoja wakitunza Amani waliojaaliwa na...
Mkuu usiwe myopic in vision and thinking. Think Big, Think globally
ACT ni CCM na CCM ni ACT. Hapa M-saliti ZZK kafika bei na anatumika. TISS walimsoma vizuri wakajua anapenda sana madaraka na publicity, hapo hapo wakamchomekea na kumvuna Zitto.
Once again ACT ni CCM ipo makusudi...
Umenibariki sana mkuu. Hakika giza haiwezi kuzima nuru wala dhuluma kushinda haki wala uongo kushinda kweli.
Wanasema kwa maneno matamu jukwaani na kutenda kinyume na maneno yao
Well said mkuu;
Inteligensia ya chama ni habari nyingine; hata TISS wanajua hilo.
Baadhi wasiojitambua watamshangilia lakini nayo ni kwa muda mfupi sana. Pole zao japo wakijitambua haina shida.
Ukombozi uko pale pale na hizi ndio dalili zenyewe kwamba tushakaribia kufika nuruni
Mkuu chama kinafanya kwa vitendo kinachohubiri. Ukisaliti chama adhabu yake iko wazi labda uombe msamaha. Ukipeleka chama mahakamani automatically unajivua uanachama. Sasa ulitaka chama kivunje katiba kwa kumkumatia m-saliti?
Kilichomkuta Zitto Makambako juzi hatakaa asahau hata siku moja na kiukweli Alichanganyikiwa jukwaani na kujikuta akianza kutapatapa eti ooooh "Hata mkinizomea mimi ni Zitto yuleyule niliyefanya mambo makubwa bungeni na ninaheshimika"Hali ilikuwa mbaya zaidi pale Police walipoamua kumkamata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.