Natafuta kazi ya kujitolea kama secretary reception au assistant admini

kyannala nabiso

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
645
143
Wapendwa natafuta Kazi ya kujitolea kama
Secretary, receptionist, assistant admini.

Elimu yangu Diploma
Ninauzoefu wa miaka mitatu (3)
Kwa Kazi nilizo taja hapo juu. Naishi Dar ees salaam. Asante
 
Maelezo yako hayajitoshelezi, ningekushauri kama inawezekana uongeze nyama kidogo. Mfano eleza kiwango chako cha elimu, uzoefu wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom