Recent content by arsenal fan

  1. A

    Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    Pili ili nipate tshs 500,000 monthly nitahitaji niwe na mtaji kiasi gani?(kote bot na utt) Ipi ni better bonds za bot au za utt? Thanks
  2. A

    Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    So, kwa iyo bonds sio investment nzuri kiviile?
  3. A

    GPA chini ya 3.0,wanaweza wakapata chuo mwaka huu?

    kuna vyuo vingine vinafundisha foundation course tofaut na open university?
  4. A

    Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

    nitajie mkataba mmoja ambao mwendazake aliuweka wazi ukasomwa na watanzania wote?😂😂😂😂
  5. A

    Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    Wewe kweli una akili?😂😂😂 unaweza kutoa elimu ya tax wakati wewe huna?
  6. A

    Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    niambie Hamisa anaelewana lugha vip na walipa kodi wakubwa wa hii nchi?😂😂😂😂, Pili ana miliki nini cha maana mpaka aonewe wivu?😂😂😂😂
  7. A

    Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    nimesoma huo upumbavu wa mshkaji nikaishia kukaa kimya, yaan mtu alipe kodi kisa sura ya hamisa😂😂
Back
Top Bottom