Recent content by arnold_kavishe

  1. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Saa nane kamili mchana
  2. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

    Hata mimi huwa inanitokea mara kwa mara.. ila nikinywa pombe kiasi cha kunitosha, hata nikilala chali sioti hizo noto wala sikabwi sijui na hayo majinamizi
  3. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Mimi nilifanikiwa kupata kadi
  4. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Sasa kumekucha uchukuaji fomu za Ubunge, Wasanii wajiapiza

    Mimi naona ni sawa tu maana hata wabunge waliopo kwa sasa hawajatusaidia chochote zaidi ya wao kusema ndiooo tu na kula kodi za wananchi. Mtu kwa sasa ukiguswa tu nenda kagombee.. utapata tu
  5. arnold_kavishe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka kwenye bet siku zote matarajio ni kula tu huwezi tarajia unaweka mkeka then unategemea kuliwa..
  6. arnold_kavishe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nikifanikiwa kufungua account ya bet365 watanikoma
  7. arnold_kavishe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi toka nacheza premier sijawahi kula hata siku moja. Ila meridian ndi kila siku nacheza online kwa siku sikosi chini ya 50,000. Ila unatakiwa kucheza kwa dau kubwa...
  8. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Ukabila kuhusu mambo ya Uchaguzi

    Ila kwanini iwe hivyo tusiwe wamoja?
  9. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Majambazi wavamia baa Kimara na kupora pesa

    Jana ilikuwa tabu ndugu.Nilikuwa mbele kidogo ya Kez Pub kuna grossary zimepangana.Nikasikia milio ya risasi kumbe ilikuwa Latemba, kukatulia. Wakawasha bodaboda haooo Korogwe kwa Kawacha hapo ndio risasi kibao.Ila walikuwa wanapiga hewani hawajaua mtu. Pia nasikia endapo wapo kundi na mmoja...
  10. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Ukabila kuhusu mambo ya Uchaguzi

    Habari wanaJF, Naomba kuuliza, hivi kwanini watu wanapenda kuleta ukabila kwenye mambo ya siasa? Utasikia Raisi hawezi kutoka kanda ya Kaskazini, utasikia wengine hawawezi kuongozwa na watu wa Kanda ya Ziwa. Sasa hapo tuelewe lipi? Tuacheni ukabila kwenye mambo ya siasa jamani. Tukubaliane na...
  11. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Ni nafasi ya UKAWA sasa kumulika ikulu
  12. arnold_kavishe

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mshahara utakachopokea mkononi baada ya makato

    Hii inasaidia sana.. asante kwa link
Back
Top Bottom