hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,911
Mimi huu ni mwaka wa tano sikumbuki nimewahi kuota ndoto gani nikilala nimelala nikiamka nimeamka sikumbuki nimeota ndoto gani mimi ilimladi kumekucha sina shida kutaka kujua leo nimeota ndoto gani najua ndoto ni ndoto tu hazina maana miaka ya nyuma nilisha ota ndoto nyingi sana lakini cha ajabu hamna hata ndoto yangu moja iliyo timia mm huwa hata nawashangaaga sana wanao ishi kwa kutegemea ndoto