Kiwango cha mshahara utakachopokea mkononi baada ya makato

Kiwango cha mshahara utakachopokea mkononi baada ya makato

stunna

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
261
Reaction score
152
Hii serikali kwa hizi kodi wanazotukata kwakwl tunahitaji serikali mpya,vifuatavyo ni baadhi ya viwango vya mshahara kabla ya makato (gross) na unachokipokea mkononi (net pay/take home).
gross take home
300000-213000
400000-339000
500000-410000
600000-480000
700000-550000
800000-610000
900000-680000
1M-744000
1.2M-858000
1.3M-915000
1.5-1M
2M-1.3M

Kwa viwango vngne vya mishahara mnaweza mkaniuliza hasa kwa mnaoenda kunegotiate bila kufahamu take home
 
naulizia 500000-410000 wanakata kodi sh ngapi?
Gross Pay
500,000
PAYE
38,900
NSSF
50,000
Net Pay
411,100
Non-Cash Benefits
50,000
Allowable Deductions
100,000
Taxable Pay
450,000

Kwahiyo kodi ni 38900
 
Mbona Net Pay haina marupurupu
Net Pay= Gross Pay - (Deductions) + Marupurupu (i.e per diem, sitting allowance, overtime, allowance, safari) = 5,000,000 Tsh
 
hebu nisaidie mkuu,nilisaini mkataba juzi na kwenye salary pameandikwa 464000/=*6000=506,000 afu then your entry salary will be 464000/= hapo cjaelewa kiasi ebu nidadafulie kama unaelewa
 
hebu nisaidie mkuu,nilisaini mkataba juzi na kwenye salary pameandikwa 464000/=*6000=506,000 afu then your entry salary will be 464000/= hapo cjaelewa kiasi ebu nidadafulie kama unaelewa

Wewe utakuwa umesign mkataba wa gvt ndo mikataba yao iko hivyo
Hiyo 464000 ndio mshahara wako na ndio gross kwahiyo utakuwa unakuta benki sh 385000 ndo ya kwako hiyo mkuu
 
Gross Pay
500,000
PAYE
38,900
NSSF
50,000
Net Pay
411,100
Non-Cash Benefits
50,000
Allowable Deductions
100,000
Taxable Pay
450,000

Kwahiyo kodi ni 38900

umetumia mahesabu gani kupata hizo amount

nahitaji kufahamu kama kuna asilimia or any kind of math behind your results plz

nawasilisha.....
 
Hii serikali kwa hizi kodi wanazotukata kwakwl tunahitaji serikali mpya,vifuatavyo ni baadhi ya viwango vya mshahara kabla ya makato (gross) na unachokipokea mkononi (net pay/take home).
gross take home
300000-213000
400000-339000
500000-410000
600000-480000
700000-550000
800000-610000
900000-680000
1M-744000
1.2M-858000
1.3M-915000
1.5-1M
2M-1.3M

Kwa viwango vngne vya mishahara mnaweza mkaniuliza hasa kwa mnaoenda kunegotiate bila kufahamu take home

Kiongozi mimi napata 1,127,874.00 ila nakatwa PAYE 476, 268.93. Hii ni moja ya taasisi ya serikali inayojitegemea haitegemei mshahara wa hazina
 
Wakuu nimemaliza shahada ya elimu mwaka huu, masomo ni Kiingereza na Kiswahili.
Ila kazi za tempo zimebana sana kwa sasa.
Nisaidieni connection ya shule yoyote nikafundishe hayo masomo. Nipo Dar.
 
Back
Top Bottom