Recent content by ARMs

  1. ARMs

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kaa kwa kutulia. Salary bado ikiwa tyr utaiona tu mkuu
  2. ARMs

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hakuna kitu ka hicho mkuu kaa kwa kutulia
  3. ARMs

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mkuu acha propaganda!! Mkeka bado haujasoma.
  4. ARMs

    Je, tatitzo ni jf au ni itv na tbc???

    Hbr? Nimesahau password ya akaunti yng naomba kusaidiwa kuipata tena
  5. ARMs

    Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Wadau naomba mnisaidie namna namba yangu ya airtel isipatikane. Maana nimetumia njia zooote hapo juu inakataaa. Naombeni msaada wa haraka sana.
  6. ARMs

    Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa

    Aligombana na dk mwaka sasa hivi dk Mwaka ana wake watatu zaidi yake
  7. ARMs

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Inshaallah usiwe na hofu. Jumatatu nitaleta mrejesho. Maana si mtumishi mmoja tu ni wengi tu. Sems watumishi wengi hasa walimu ni waoga sana kuekeza matatizo yao wao wanaona kama wanapewa tu kwa huruma hawajui ni haki yao tena ya laxima sana tena itoke kwa wakati muafaka.
  8. ARMs

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Hapa kilivhopo muhim asaini mafaili na awapush wahasibu walipe haraka maana ni muda sasa. Unashangaa kwa nini hasaini kwa wakat? La kufikirisha zaid ni kuwa fungu lilishatoka hazina wao ni kulipa tu!!!!
  9. ARMs

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Hizi pesa za madai hasz likizo zipo zimeshapitishwa ni swala la kulipwa tu. Yaani kinachotakiwa ni kuidhinishwa tu kwa kusaini mafaili ya watumishi wanaodai .na yapo na wanajulikana. Kabla ya huyu mkurugenzi kulikuwa na yule bwana kibamba ilikua ukiiywa kujaza vendor form ukaijaza huchukui hata...
  10. ARMs

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Kiukweli huyu afisa NDOMONDO ni jembe anajitahid sana kufanya kazi. Anajali na anajitolea sana hasa kwa upande wa Elim maalum. Maana anafuatilia sana anawatafuta wafadhili kufadhili rlim maalum pia anajitahid kuandaa semina kws walim wa elim maslum haka kabwana mdogo NDOMONDO kanachapa kazi ile...
  11. ARMs

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Mkuu hapa kilichopo c kujiridhisha la ila madai hasa haya ya likizo yameshahakikiwa kinachofanyika hapa ni kulipwa. Sasa hawawezi lipa mpka aweke saini yake. Hapa ndio mafaili yamekaa tu ofisini kwake. Mfano kwa walimu wao walijaza vendor form kwa ajili ya malipo ya likizo now ni zaidi ya miez...
  12. ARMs

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Habari ndugu wajumbe? Mkurugenzi wa jiji la Mwanza amekuwa ni kikwazo kuweza kupitisha malipo ya watumishi wa umma wa jiji la mwanza. Katika kufuatilia suala la malipo haya nilikuwa najua kuwa kikwazo ni wahasibu lakini ndugu zangu wajumbe Mkurugenzi huyu ni kikwazo sana maana hataki kusaini...
Back
Top Bottom