kaswiza90
Senior Member
- Oct 25, 2015
- 194
- 68
HahahahahaaMpo wenyewe humo bungeni..
Piganeni kabisa sasa..
Ukoo wa panya.
HahahahahaaMpo wenyewe humo bungeni..
Piganeni kabisa sasa..
Ukoo wa panya.
Angeenda kukopa bodaboda?.....Kigwangalla analazimisha ateuliwe tena uwaziri.
Mbona wanasemaga utajiri wa Kigwangalla unakaribiana na ule wa Mo Dewji wa Simba?
Good question. Fitina huwa ni sehemu ya maisha ya wanaokuona unapafomu vizuri, uko kwenye mwelekeo sahihi, huku wao wakiwa wanakwama na kuelekea kusiko. Hofu yao ni kwamba ufanisi wake soon utageuka kuwa nongwa kwao. Understood?Ninawaza tu: hivi CAG amzulie Waziri au afisa fulani kwa manufaa gani?
Kigwa ana tafuta uteuzi na huruma tuuGood question. Fitina huwa ni sehemu ya maisha ya wanaokuona unapafomu vizuri, uko kwenye mwelekeo sahihi, huku wao wakiwa wanakwama na kuelekea kusiko. Hofu yao ni kwamba ufanisi wake soon utageuka kuwa nongwa kwao. Understood?
Usikatae inawezekana vizuri sana, pia inawezekana kigwangala nae ni muongo tu. Vyote vinawezekanaNinawaza tu: hivi CAG amzulie Waziri au afisa fulani kwa manufaa gani?
Aligombana na dk mwaka sasa hivi dk Mwaka ana wake watatu zaidi yakeKigwangalla ni ngazi ya kupandisha wengine.
1. Aligombana na Bashe sasa Bashe ni Waziri
2. Aligombana na Mkenda sasa Mkenda ni waziri
3. Aligombana na Mo Dewji sasa Mo anamiliki Simba SC
Hahahaaaa.......!Aligombana na dk mwaka sasa hivi dk Mwaka ana wake watatu zaidi yake
Ndiyo lakini bado sioni mantiki ya mheshimiwa fulani kufanyiwa fitina kimahesabu. Ingekuwa kwa maneno ndiyo ningeelewa sana.Good question. Fitina huwa ni sehemu ya maisha ya wanaokuona unapafomu vizuri, uko kwenye mwelekeo sahihi, huku wao wakiwa wanakwama na kuelekea kusiko. Hofu yao ni kwamba ufanisi wake soon utageuka kuwa nongwa kwao. Understood?
Angejitahidi kuonyesha maeneo yaliyokuwa siyo sahihi kwa maandishi tangu enzi zile. Inawezekana hoja zilipelekwa Wizarani lakini hazikujibiwa mpaka muda ukapita zikaandikwa kama zilivyo. Yeye alichukuwa hatua gani kwa kipindi kile?Usikatae inawezekana vizuri sana, pia inawezekana kigwangala nae ni muongo tu. Vyote vinawezekana
Kama huwa mnasemaa humu raisi anadanganywa, kwa nini ishindikane kwa cag