Tatizo hizi nafasi huwa wanatangaza wakati wameishapata watu wao, kati ya mnaoomba, unakuta wanataka mtu mmoja au wawili kujaza nafasi zilizobaki au kutimiza agizo kwamba wametangaza. Any way tunajaribu, huenda nafasi moja hiyo ni yako!
inaonekana akili yako inaishia mwisho wa pua yako, inakuwaje suala la kabila la mtu kuingia hapa? ni jinsi gani gani kabila la mtu lina uhusiano na anachokifanya? unaweza kuniambia ni jambo gani zuri ulilowahi kulifanya linaloshabihiana na kabila lako bora? JADILI MADA MAHUSUSI!!!
"The student with Index number 'S0545.0026.2006' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year." ndo wana maana gani? nisaidieni tafadhali.
Kweli kabisa, katika elimu ya saikolojia, inakuambia kwamba mwanadamu asili yake ni mbinafsi, kila kitu anachokifanya lazima ndani yake kuna umimi hata kama ni kwa kiasi kidogo. Hakuna mtu anaweza kupata shida kwa ajili yako kwa asilimia mia. Mwanasiasa anatumia kipaumbele cha mwananchi...
mchezo huu wa siasa usiuingilie kichwa kichwa, ndo maana nimeamua bora niwe mtazamaji, utamwamini huyu kesho kakengeuka. Haya muone rais wa 1995. Kesho tena mwingine unayemwamini.:smash:
Suala la kufeli kwa wanafunzi wa sekondari katika nchi za Tanzania lina dhana pana sana, sio jambo la kulaumu mtu au upande mmoja, wazazi wanazo lawama zinazowahusu, walimu wanazo za kwao, serikali ina sehemu yake lakini wanafunzi wanazo lawama nyingi sana.Watendaji wa serikali ni wazembe tena...
ndugu yangu kama haina chip, ukishachakachua utafanyaje? kwa sababu unachakachua "unlock" inayobeba chip ili uweze kutumia chip yoyote (mtandao wowote). we endelea kukandamizia hiyo hiyo.
nimejaribu, hatua za mwanzo zote inapita successfully, nikifika hatua ya mwisho (4) naambiwa "no username" nkifungua kwenye sehemu ya "server" naingiza username na password, nikikomand "unlocking" inaniambia "connection error" nifanyeje? tafadhali nisaidieni.
Nimejaribu ku-unlock modem yangu ya airtel aina ya ZTE model MF190, nafuata process zote kwa kutumi dc-unlocker 2 client, lakini nikifika hatua ya mwisho inaniambia "no user name" "error code 63" msaada tafdhali wana IT.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.