MSAADA -m TCU SELECTION 2013/2014

TCU haitoi majina ya waliochaguliwa. Majina yanatolewa na vyuo vikuu husika. TCU wanachofanya ni kuweka utaratibu mmoja wa kuchagua wanafunzi kwa vigezo vilivyowekwa na vyuo vyenyewe wakizingatia vigezo elekezi vya TCU. Baada ya vigwezo hivyo kukamilika kwa utaratibu wa TCU, basi TCU hupeleka majina kwenye vyuo husika ili wahakiki kama waliochaguliwa wamekidhi vigezo vyao. Vyuo husika wakishajiridhisha ndio wanatangaza majina katika tovuti zao. Inaonekana ndugu yangu hujaelewa maana ya CAS. TCU haina chuo chake kikuu cha kujitangazia majina yake. Ni juu yako kwenda kwenye tovuti za vyuo ulivyopeleka chaguo lako na ukaandikiwa YES, you have met minimum requirement. Kizazi hiki cha Mulugo nacho!!! kazi kwelikweli.

Huo ubet wa mwisho ulioweka ndo umeharibu comment yako nzuri na elekezi Mkuu share
 
Last edited by a moderator:
Allen, we inaelekea ni mgumu wa kuelewa. kama unategemea kwenda University-ex form six, you have to make up you mind, otherwise you will face the consequences you can predict! Bye! Nisaliie wa Musoma na Kiabakari,Buhemba etc

kiingereza waachie wenyewe mkuu....
 
Huo ubet wa mwisho ulioweka ndo umeharibu comment yako nzuri na elekezi Mkuu share

Mi mwenyewe nilianza kumpa marks 100 kwa alichoandika ila nilivofika kwenye conclusion ndo nikachefuka kabisaaaa,nikampa 0
 
Last edited by a moderator:
Huo ubet wa mwisho ulioweka ndo umeharibu comment yako nzuri na elekezi Mkuu share

inaoneka wewe ndo huelewi tcu ni nini na kazi yke ipi swala la kuannaunce post ni moj kati ya shughuli zake muheshimiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom