Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida.
Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS
Package: 20Ltrs & 5Ltrs
Bei: Tsh 6,000 per Ltr
Napatikana: Dar Es Salaam
MOQ: DUMU 50 (20LTRS)
Mawasiliano: 0652070444
Karibu Sana
Umeongea vyema sana.
Wanawake wengi ni SINGLES MOTHERS hii itapelekea kuwa na jamii isiyo imara maaana malezi yatakuwa ya upande mmoja.
Hata kuoa SINGLES MOTHERS nayo imekuwa ngumu sana.
Nilishakutana na mmoja kama huyo pale MLIMANI CITY DAR ES SALAAM ebana alinichangamkia akaniuliza hunikumnuki tulisoma wote shule flan
Mwishoe akanitoa hela baadae ndio nikajua lile lilikuwa chaka na mimi nikajaa mazima
-Kweli ni hitaji lakini kukidhi kiu ya hitaji lako halikuhitaji kuzunguka na kuumiza mtu moyo. Kuna uwezo wa kumwambia pia kuwa nataka kutuliza haja zangu na kutembea mbele.
- Hivyo ndivyo wanaume marijali wanafanya. Unaweka wazi mipango yako.
-Kwanini uliingia kwenye mahusiano ilihali unajua vyema kuwa hauna kipato cha kuwa na mwanamke kwa muda mrefu.
-Ungeliweka tokea mwanzo kuwa hauhitaji mahisiano ya muda mrefu. Wewe ni chapa ilale mbele.
- Muda mwingine tunajitafutia mikosi laana kurogwa bure.
-Kama imani hauna jina la YESU utalitaja na hakuna kitakacho tendeka wala kutokea. Sababu ya kulitaja jina la Yesu Kristo ni kwamba Yeye alishinda kifo na ana mamlaka.
UFUNUO 12:11 (Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.)...
-Bibilia haijatungwa bali ni mkusanyiko wa vitabu mbali mbali kutoka kwa waandishi (Manabii, Mitume na wanafunzi wa Yesu) venye kuelezea habari za Mungu, mafunzo na Maagizo.
-Bibilia tunazosoma sasa hivi zimetafsiriwa kutoka kwenye chapisho la Kwanza kabisa kwenye historia ya dini nacho ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.