Recent content by arl

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    Movie hii huniliza siku zote.Iko too emotional
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    Ptety zinta alifanya movie moja na shahurkan inaiitwa Kal ho na ho..inanitoaga machozi hadi hii leo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    Nimemiss sana movies za Kihindi. Wapenzi tuungane hapa tukumbushie na kuhadithiana wapendwa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kulidadavua inategemea na nini maana yako
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

    Kayataka mwenyewe
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

    Na mimi nimemuachia mume wangu kila kitu njoo tuanze upya ila ulee kwanza watoto wangu .
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume ukiwa na rafiki wa kike, ni vigumu sana kwa yeye kukuunganisha na marafiki zake?

    Heshima na ni dharau kwambia mwanamke akutongozee mwanamke mwenzie
  8. A

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    4/8 twin wangu wanipm jamani..
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Unamtambulishaje mama wa kambo?

    Mama mlezi?mmhh kama hajakulea?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda, nashindwa kumudu majukumu ya ofisini na nyumbani

    Pole my dia..tafuta msicha na kazi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgomo wa Daladala kesho tarehe 14/09/2016

    Uvivu???hahaa kwa hiyo maovu yaendelee sababu tu tutafikaje kazini?kwani babu yako mzaa babu alikuwa anaenda shamba na gari lililopo km 50 kutoka kwake?wewe ndo mvivu..kama umenisoma vizuri nilimaanisha zifutwe zote then zianzishwe upya na mpya zenye utaratibu chanya..usikurupuke soma uelewr
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgomo wa Daladala kesho tarehe 14/09/2016

    Kwa kweli Inabidi ufike wakati watanzania tuweke mazoea pembeni..ivi kama huna kosa,gari liko sawa kila kitu huyo trafic akukamate tu.Ingekuwa amri yangu ningepiga matufuku daladala zote maana hakuna hata moja iliyokamilika..iki tuanze upya na asiyetaka aache.pambafuu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa kama ulijiuzilu 'kuiokoa' CCM na Serikali, jiuzulu sasa kuikoa CHADEMA na CUF

    Ukweli unaumaa eehee
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mkasa ulionikuta wikiendi hii

    Na akili zako timamu..unaopost ujinga ka huu..acheni utoto
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

    Sasa je..wanaume sarawili bibi yangu anasemaga..
Back
Top Bottom