Kaz kwel kwel.... Km ningepata fursa ya kumshaur prezdaa ningemuomba atafakar kwa makin nn hakijaenda sawa alaf afanyie kazi maana kwa uzoefu wangu ht km maandamano hayatatokea as long as watu wamejua kuwa inaweza kuwa solution bas watazid kuja na idea hiyo hiyo time to time maana idea haifi...
Wanaopiga kula ni wananchi, wanaowachagua hao wanaojiuzuli n wananchi pia so ilo sidhan km ni changamoto. Chama tawala kingejikita ktk maendeleo ili watu waweze kukiamin na kukikeep madarakan lkn kwa kuamisha wawakilishi wa wananchi sidhan km ni busara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.