Recent content by ARIZ

  1. ARIZ

    Inawezekana ajali iliyotokea Arusha leo ndio niliyoiota

    Halafu anataka remix ya ndoto yake ili idadi itimie. Mi namshauri amtafute MTU wafanye colabo kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ARIZ

    Wanachadema wanaomkashifu Dr. Slaa wajifunze kwa CUF

    Dr slaa mjanja alikomaa na ccm akapewa cash lipumba na uprofesa wake aliingizwa cha kike kama madiwani wa hai. Hongera Kwa Josephine mushumbuzi. Na lipumba angekuwa na mke sidhani kama angekubali ile tiketi ya go and return ya kigali,labda angemshauri wao waende Geneva. Sent using Jamii Forums...
  3. ARIZ

    Kwanini Tundu Lissu hakuudhuria mkutano Chadema na wanahabari? je kasusa au?

    Ameacha ili kumuunga mkono Magufuli. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ARIZ

    Karibuni sana kwenye semina ya uwekezaji

    Unaajiriwa ili ufundishe watu ujasiriamali. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ARIZ

    Hivi ni kweli kwamba Wananchi huwa wanusimamisha Msafara wa Rais barabarani?

    Mlitaka kanumba asiwe na mrithi kwenye fani? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ARIZ

    duh nimecheka aisee.

    Ha ha haa. Eti bashite ni RC. Ha haaa Lipumba ni Mwenyekiti wa kafu Ha ha ha haaaaaaaa eti akasia tunawadai bajeti ya miaka 20. Wakilipa nitaenda likizo mpaka nistaafu ha ha ha mama mbavu zangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ARIZ

    Ni hatua gani zitachukuliwa dhidi ya channel 10 na EFm!

    Huyu ba-shite amebakiza miaka nane kuwa uraiani. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ARIZ

    Acacia haina hatia Tanzania: Serikali ya JPM itaithibitishia Mahakama ya Usuluhishi London

    Nikiangalia Yale mashimo ya resolute pale Nzega machozi hunitoka na kikiwaangalia mawaziri na marais waliosaini hiyo mikataba makamasi huchanganyika na hayo machozi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ARIZ

    Mpango utakaowabana watumiaji wabaya wa Mitandao ya Kijamii

    Natabiri huu mpango utaanza kumwumiza huyo ngo-nyani kama nape na bunge live au dialo na kampeni za ccm. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ARIZ

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Tatizo hawawezi kuhoji tena mambo ya hovyo kisa yanafanywa na mwenzao. Kwa wingi huo tulitegemea upinzani wa kweli Kwa ajili ya kuiamsha serikali uletwe na wingi wao pia,Leo tabasamu anaomba msamaha jukwaani akilia kisa kabila Kwa kosa ambalo halipo Ila Ilikuwa haki yake kikatiba na...
  11. ARIZ

    CCM inachukuaje wanachama wa CHADEMA?

    Mimi nawashauri shemeji zangu wachaga,jirani zao wameru na waarusha na watani zao wapare ccm imeua biashara zenu,imewafanyia fitina serikalini na kwenye mashirika ya uma sasa ni wakati wa kuigeuza ccm yenyewe kuwa PESA,hima miaka Saba si mingi Ila inatosha kuvuna PESA. Msishangae kama sisi...
  12. ARIZ

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Any way Kwa vile na wewe ni msukuma tusubiri 2025 akili zinaweza kukurudia. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ARIZ

    Huyu bwana ilikuwa kidogo tu awe mbunge nchi.

    Kama tumewachagua kina ndugai wasomi wakasaini mikataba ya Madini leo wanaiita ya kipumbafu si Bora huyo mara Mia? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ARIZ

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Kwa hiyo Vita kubwa kama madawa ya kulevya revenge yake iwe ni kudai cheti tu ambacho dakika mtu anaweza kukitoa? Subiri msukuma aondoke ikulu uone kama huyo bashite wako hajanyea debe na kurudisha hela za serikali alizochukua isivyostahili. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom