Hili la Ole-Naiko kuwa Executive Director wa Acacia baada ya kustaafu TIC limulikwe

Kama Ole Naiko alikuwa mtumishi/wakala wa serikali katika kuingia makubaliano, je kwa sasa si ni hatari katika kipindi ambacho tunaenda kwenye majadiliano na Acacia/Barrick ambapo atatumika kutoa taarifa za ndani/siri za serikali zitakazotumika kutunyima fursa ya kuwa na nguvu katika majadiliano?

Kwani akiamua kuzitoa hizo siri hata bila ya kuwa na cheo chochote huko ACASIA, nini kitazuia asifanye hivyo?
 
Ni kweli kabsa, hapo uzalendo utakua jeopardised
Hakika mkuu, huyu mtu ana siri nyingi sana za serikali,ni mtanzania na amefanya kazi upande wa serikali kujadiliana mikataba na Barrick/Acacia sasa leo yupo upande wao ni hatari.
 
Wakudadavuliwa ina maana hujui tofauti ya barick na accasia?
Anayekudadavua ana hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
barik ndio nini? na accasia ndio nini? maandishi yako yanaonyesha kabisa hoja hii imekuzidi kimo na akili. Endelea na shughuli zako za kucheza singeli lakini si mambo ya kutumia akili.
 
Singeli inachezwa chato na Lumumba,subiri wanaume wazidi kumwingiza chaka mpenda masifa.
Watoto wa kihuni wa dar wanampa kile anachopenda kusikia,akiamka asubuhi hata kama hajanawa USO akimwuliza siro anamjibu usiogope mkuu tumekuombea umenawishwa na malaika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni press release, tunachokijua ni kuwa Acacia kupitia mkuu wao waliahidi kukutana na serikali. Naona wewe unaendeleza siasa kwenye masuala ya msingi. Usizungushe]

Sheria hiyo kali unayoomba iende mbungeni sambamba na sheria kali ya kuwazuia viongozi wa umma wanaopatikana kisiasa wasijishughulishe na biashara; wala kumiliki kampuni; wala kuwa na hisa katika makampuni binafsi wala kuwa wajumbe katika bodi mbalimbali za mashirika ya umma hata baada ya kustaafu siasa. Usitake kubana wastaafu ambao pension zao hata haitoshi kumiliki toyo/kiriku.
 
Singeli inachezwa chato na Lumumba,subiri wanaume wazidi kumwingiza chaka mpenda masifa.
Watoto wa kihuni wa dar wanampa kile anachopenda kusikia,akiamka asubuhi hata kama hajanawa USO akimwuliza siro anamjibu usiogope mkuu tumekuombea umenawishwa na malaika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, kweli tembea uone.Na uhakika wewe ulitakiwa ukajadili kwenye uzi huu lakini si hapaNews Alert: - ARUSHA: Diwani mwingine wa CHADEMA kata ya Moita jimbo la Monduli amejiuzulu
 
Hizo ni press release, tunachokijua ni kuwa Acacia kupitia mkuu wao waliahidi kukutana na serikali. Naona wewe unaendeleza siasa kwenye masuala ya msingi. Usizungushe mikono,tulia.

Sheria hiyo kali unayoomba iende bungeni sambamba na sheria kali ya kuwazuia viongozi wa umma waliotokana kisiasa kumiliki biashara yoyote, wala kumiliki kampuni, wala kuwa na hisa katika kampuni yoyote, wala kuwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya mashirika ya umma hata baada ya kustaafu siasa. Msitake kuwabana wastaafu ambao pension yao hata hairuhusu kumiliki toyo/kiriku wakati mafisadi wakubwa ni wanasiasa.
 
Hakika mkuu,mchango wako umeongezea hoja muhimu sana katika andiko langu.
 
Singeli inachezwa chato na Lumumba,subiri wanaume wazidi kumwingiza chaka mpenda masifa.
Watoto wa kihuni wa dar wanampa kile anachopenda kusikia,akiamka asubuhi hata kama hajanawa USO akimwuliza siro anamjibu usiogope mkuu tumekuombea umenawishwa na malaika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamini akili zako za mafungu au za kupima. Haupo sawa kabisaa , kipanya anakutafuta
 
Ndugu wana-JF kama mtakubuka ndugu Emanuel Olenaiko amekuwa Mkuu wa uendeshaji na baadaye Mkurugenzi mkuu wa Kituo cha uwekezaji TIC kwa miaka mingi sana. Na amehusika kutoa leseni kwa makampuni/wawekezaji mbalimbali hapa Tanzania wakiwamo Barrick/Acacia.

Sasa kitendo cha kuajiriwa na Acacia/Barick kama Executive director anayeshughulikia mahusiano na serikali kinaleta ukakasi. Ni lazima itungwe sheria kali kuzuia hawa maafisa wakuu wa serikali kuajiriwa na makampuni waliyokuwa wanayasimamia katika utekelezaji wa sheria.

Kama Ole Naiko alikuwa mtumishi/wakala wa serikali katika kuingia makubaliano, je kwa sasa si ni hatari katika kipindi ambacho tunaenda kwenye majadiliano na Acacia/Barrick ambapo atatumika kutoa taarifa za ndani/siri za serikali zitakazotumika kutunyima fursa ya kuwa na nguvu katika majadiliano?

Ifike wakati Emmanuel Ole Naiko aondoke Barrick/Acacia ili kulinda maslahi ya serikali na nchi ya Tanzania. Ujumbe huu naomba usambazwe hadi aupate leo leo kisha usiku wa leo aondoke mwenyewe.

Nakubaliana kabisa na wewe mkuu.Ajira hii ina ukakasi sana.Inaonyesha wazi kwamba Ole Naiko alifanya madudu ambayo yalii-favour Acacia,and this is a kick back.Achunguzwe huyu.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom