Karibuni sana kwenye semina ya uwekezaji

Omuziba

Member
Joined
Jun 30, 2017
Posts
57
Reaction score
12
Kampuni ya AIM imeandaa fursa nnzuri ya kujenga uchumi wa kila mtanzania. Ili kujiunga na fursa ni lazima upewe semina ili uielewe vizuri fursa
Mpaka sasa semina zinatolewa ktk mikoa mbalimbali ya Tanzania piga 0757409103
Uelekezwe ni wapi semina zinatolewa mkoani kwako
Ndugu mwananchi usipuuzie unaweza kuingiza zaidi ya millioni moja kwa wiki baada ya kujiunga na kampuni
 
Da milioni moja kwa wiki asee, kwa mwezi milioni nne, huu si mshahara wa mkuu wa mkoa asee?

Hebu watu wa online marketing punguzeni utani asee. Wewe uliyetoa hili tangazo unaingiza ngapi sasa hivi kwa wiki?

Hebu acheni kutesa watu kisaikolojia bana, fanyeni mambo realistic. Ingekuwa hivi si kila mtu angekuwa tajiri Tanzania, kwenda semina tu baada ya hapo unaingiza zaidi ya milioni kwa wiki. Mnadhani sijui Mungu hawaoni! Ptuuuuu
 
Hehehe na yeye katumwa kuweka matangazo ili alipwe..[emoji3]!

brain is the beautiful part of the body.
 
Da milioni moja kwa wiki asee, kwa mwezi milioni nne, huu si mshahara wa mkuu wa mkoa asee?

Hebu watu wa online marketing punguzeni utani asee. Wewe uliyetoa hili tangazo unaingiza ngapi sasa hivi kwa wiki?

Hebu acheni kutesa watu kisaikolojia bana, fanyeni mambo realistic. Ingekuwa hivi si kila mtu angekuwa tajiri Tanzania, kwenda semina tu baada ya hapo unaingiza zaidi ya milioni kwa wiki. Mnadhani sijui Mungu hawaoni! Ptuuuuu
We hudhuria semina ndo utajua inapatikanaje kwa wiki
 
Hawa wenye visemina uchwara kwa kuwapotosha watu hawajambo
 
Semina zinaendelea kila siku karibuni msikilize hiyo fursa ya biashara ya mtandao yenye compasation plan nzuri .
 
Back
Top Bottom