Recent content by Ariyan

  1. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli kuhusu radi na radi ya kichawi na namna ya kujikinga

    Asante sana kwa elimu ulotupa ila nina swali hapa 1.kwa namna nilivyo zunguka nchi yangu Tanzania nimegundua kwamba mkoa wa kigoma ndio mkoa wenye radi kali sana pindi mvua inaponyesha tofauti na mikoa mingine
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Asante sana, hela hiyo sio ya mkopo nimedunduliza mwenyewe mpaka nimefika hapo. Hiyo biashara ya vifungashio unaweza kuilezea kidogo? Kwa mfano mashine yenyewe naiweza ipata wapi na ni kiasi gani?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Salaam, Ningependa niende kwenye mada moja kwa moja.katika kupambana hapa na pale kutafuta mtaji nimeweza kufikisha kiasi cha milion 30 ambacho natafuta msaada wa mawazo ya biashara ambayo itakuwa inaingiza kuanzia laki moja kwa siku. Tafafhali mwenye wazo lolote naomba tusaidiane.
  4. A

    JamiiForums Tanzania NHIF (Toto Afya Card): Kuongeza muda wa kuisubiri Kadi hii kutoka siku 21 hadi 90 ni usumbufu sana

    Umesha athirika na fisiem wewe haiwezekani utuandikie maelezo mareeeefu halafu pumba tupu. Yaan mtoto kazaliwa leo niende kumkatia bima nisubiri miezi mitatu ndo nipate card? Ushawahi kuona wapi huduma ya hivyo?ungekuwa karibu unatakiwa ukatwe hata makofi. kwahiyo miezi mitatu yote ugonjwa kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo ya biashara

    Salamu kwenu wana jamvi Kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaika kutafuta pesa ya kutosha ili niweze kufungua biashara ambayo faida yake itakuwa inaonekana ili na mimi niweze kuongea kibosile katika mkoa huu wa Makonda. Katika kuzichanga changa pesa leo hii nimeweze kutimiza kiasi cha milioni 30...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo sitowaamini tena watekwaji na watekaji, bora niendelee tu maisha yangu ya kupambana na umasikini

    Vijana wa Lumumba katika kutetea elfu 7 za ugali
  7. A

    JamiiForums Tanzania Makonda, jiweke mbali na mambo ya kitaifa. Huna baraka wala bahati!

    Wazee wa kumlambalamba Mkuu wenu afu mnapewa miambili miatatu za kula na mwenzako Lemutuz. Pwani hapa mzee hamuogopi vya bure?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ameshindwa kwenda na ndege ya Rais? Watangulizi wake walionunua ndege ndogo ya Rais hawakuwa na akili?

    Hazijawa nzuri na wala hatujaona faida zake na safari kama hizo bado ni hasara zaidi. Akili kama zenu ndo zinazo didimiza hilo taifa.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mh spika kubali umekosea acha kutapatapa.

    Nyie ndio wale vijana wa kiongozi yule ambao Mh Spika aliwasema mtakuja kuandika kwenye mitandao? Kiongozi wenu wa mitandaoni bwana Mobimba nyenyenyee mzee wa straight talk.Yetu macho na masikio
  10. A

    JamiiForums Tanzania Halotel ni nani kawaroga?Poor internet than ever!!!!!!

    Mimi mwenyewe nipo kwenye process za kuhama, nimetumia halotel mwaka wa tatu huu ila kila mida unavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa slow, nimeshawauliza sana kwanini lakini majibu yao ni eneo uliopo litakuwa lina shida.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kuwa RITA wameambiwa wafanye makusanyo ya pesa kama traffic kupitia ukaguzi wa vyeti

    Mbona hako kamchezo kameanza toka mwaka jana, hii nchi tunapoelekea ni pabaya sana.
Back
Top Bottom