Halotel ni nani kawaroga?Poor internet than ever!!!!!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,610
Aisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka

Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi

Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani

Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?

Hivi nani kawaroga?

Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
 
watu wangu kama 15 leo wamehama mtandao , kumbe sababu ni hiyo !
 
Uku kwetu kuna mnara wa halotel cha ajabu kupata H+ lazima ukategeshe maeneo Fulani fulani hivi ndo upate huduma nzuri
Yaani ni kero kama kuna wahusika umu basi mliangalie hili kwani ni kikwazo kwa sisi tunaotumia mtandao wenu
 
Aisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka

Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi

Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani

Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?

Hivi nani kawaroga?

Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
Hiyo siyo halotel ni simu yako ,Mimi huku nipo Tanganyika -masagati,kilombero naipata halotel vizuri Sana'a na mnara upo mlimba kilomita 260 kutoka nilipo cheki simu yako vizuri hakuna mtandao wa afadhari kama halotel
 
Aisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka

Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi

Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani

Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?

Hivi nani kawaroga?

Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
Nilikuwa naangalia simu unayotumia kwanza nimegundua in ile inayokulazimisha Ili update 3G+ lazima uweke simu kadi kwenye namba moja pia inakulazimu ufanye ile kuseti kwenye 3G maana IPO 2G
 
Voda ,tigo pia ni hovyo wanazingua kimaku yaan hata H+ hawana huku serengeti ni dolo sana
 
Aisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka

Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi

Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani

Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?

Hivi nani kawaroga?

Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??

Mimi mwenyewe nipo kwenye process za kuhama, nimetumia halotel mwaka wa tatu huu ila kila mida unavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa slow, nimeshawauliza sana kwanini lakini majibu yao ni eneo uliopo litakuwa lina shida.
 
Aisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka

Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi

Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani

Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?

Hivi nani kawaroga?

Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
Uku mwanza ni H+ hakuna utata
 
Ni kweli kabisa kwa ulichoongea mkuu, mimi nilikuwa mtumiani wa halotel lakini sasa mimeacha kabisa kutumia internet yao maana ni slow balaa, yaani ni hatari tupu.
 
Halotel hovyo kifurushi chao cha 1004 mb kwa wiki ni utapeli haiwezekan nimenunua kifurush hicho bahati mbaya simu ikazima chaji siku nzima asubuh nawasha naambiwa nimetumia asilimia 75
 
Halotel nimekuwa nikitumia since imeingia lakini Soon naipiga chini maana internet iko poor Sana yaan sanaaa ..jaman mtandao gani Tanzania Ni best hasa dar es salaam uende popote uko imara?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom