Recent content by argon

  1. A

    JamiiForums Tanzania TCRA yatoa miezi sita hadi Juni 16, 2016 kabla ya kuzifunga simu zote feki nchini

    Chanzo cha fake products, importation zake, wauzaji wake wasipodhibitiwa bado wananchi watakuwa hawatendewi haki. TBS imelala, mwananchi wa kawaida atajuaje simu ni fake? Hususan ambao tayari walishanunua simu hizo, hakuna elimu iliyokwisha tolewa, wao walizijua, walichukua hatua gani zisiuzwe...
  2. A

    JamiiForums Tanzania TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

    Nilishaiacha siku nyingi kuangalia tbc, utakuta private tv stations zinaripoti matukio muhimu wao vituko, vikatuni nk. Kwangu hiyo haitazamwi. Naona ITV ndo tv ya taifa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania ITV washauriwa kumuunga mkono Rais Magufuli

    Kuanika ubadhirifu, matatizo ya wananchi ya ardhi, migogoro mbalimbali nk ndo kutomuunga mkono Rais? Acheni unafiki, hakuna asiyejua kazi nzuri ya ITV, upendeleo wa TBC, *tv nk. Kituo cha tv ambacho ni sauti ya wanyonge inajulikana. Labda km mmezoea kuishi kwa ujanja ujanja.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hongera TANESCO kwa mabadiliko

    Too early to congratulate Tanesco. Bado wananchi/watumiaji wengi wa umeme wana malalamiko mingi isiyofanyiwa kazi. Labda ungesema 'UNAWASHUKURU' the way they handled your case. Una uhakika wa umeme kesho asb? Bado sana. Mbado.
  5. A

    JamiiForums Tanzania 1.6 trion kama kodi/mwezi inawezekana hata bila kuongeza viwango vya kodi

    Usimamizi makini ukiondoa ukwepaji kodi kwa kutorosha makontena, makontena yanayokadiriwa kodi ndogo kupindukia, kodi ktk sekta ya madini, utalii, makazi nk. Haya na mengine mengi yataongeza pato la taifa na maendeleo yataonekana kwa macho very soon. Mungu azidi kutujalia viongozi (hasa wa juu)...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Meli ya Royal inaungua moto muda huu

    Hakuna chombo cha moto baharini kisichohitaji fire extinguisher maana si kila moto huzimwa kwa maji. Inategemea kinachoungua na chanzo pia. Ref: fire triangle (chemistry ya form I)
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ofisi za LAPF posta ziko sehemu gani?

    Posta mtaa wa mkwepu na kaluta karibu na filling station ya puma. Jamaa wanazingua kulipa since july wanamzungusha mdada fulani. Sina hamu nao.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli awafumba mdomo tanesco kuhusu mgawo

    Wao Ni walewale hivyo migawo ni ileile.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Gambia Yatangazwa Kuwa Jamhuri Ya Kiisilamu

    Elimu elimu elimu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Joto kali sana jiji la Dar, kulikoni?

    All in all tabia nchi imebadilika sana. Nguvu kubwa yahitajika sana kufanya afforestation na kutunza mazingira na misitu iliyopo World wide.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwa umri wangu sijawahi ona uzalendo Huu

    Quel age as tu?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania anaongozwa kwa kupendwa

    Bado mapema sana. Hata mkwere alisifiwa sana. Ila jpm akiendelea hivi na zaidi ya hivi hadi mwisho ndo tutaweza sifia. Bado miezi 59.
  13. A

    JamiiForums Tanzania TFDA be proffesional. Mtachomaje kemikali wazi namna hii?

    Kati ya taasisi inayofanya mambo kimazoea na kidanganya toto ni TFDA. Wanavamia maduka mawili matatu na kuchoma vijibidhaa visivyojulikana kwa watumiaji. Kesho si watu wataendelea kuzinunua na kutumia bidhaa hizo? Hawatoi elimu kwa umma, hawatoi orodha ya bidhaa/madawa hatarishi nk. Km ambavyo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania NSSF acheni kuwatumikia waajiri, watumikieni waajiriwa

    Siku nyingi sana natamani kuihama NSSF.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli si alikataza safari za nje? Taifa stars mlifuata nini Algeria?

    Si akina Jecha waifute tu hiyo mechi?
Back
Top Bottom