Recent content by arete

  1. arete

    Maoni ya Kizalendo

    Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa taifa katika kuleta maendeleo basi tuache siasa na tufundishe wataalamu wetu kwa lugha wanayoielewa...
  2. arete

    Mafanikio sio ajira tu tujiajiri

    Wadau tushirikiane kukumbushana maisha sio kuajiriwa peke yake. Vijana wengi wamedhani kuwa maisha pekee ya kumwezesha kushi ni kuajiriwa kwenye makampuni au serikali ndipo maisha yaweze kusonga mbele. Tumesahau ujasiria mali ambao tukifuatilia nyanja zake tutafika mbali tujiajiri kwani hata...
  3. arete

    Hivi ni kwanini?

    Kiukweli nimeona nilete hoja hii humu ndani tuijadili, kwanini wanaume wengi wamekuwa ni chanzo cha uvunjifu wa ndoa? kwa kawaida mwanaume anapoingia kwenye ndoa mwanzo humpenda sana mkewe na wala hafikiri kama kuna siku atacheat kadhalika mkewe, lakini miaka michache au hata miezi michache...
  4. arete

    Hodi!

    Habari zenu ba ndugu, Kwa mara ya kwanza najitokeza katika mtandao huu wa kijamii, naombeni mnipokee wabdugu tuwe wote katika kuelimisha na kujuzana habari za hapa na pale
  5. arete

    Nisaidieni nikoe ndoa hii.

    Huyo kaka yako keshanasa, chakufanya hapo mwite uongee naye umsikie tatizo liko wapi vinginevyo ndo anatokomea hivyo!!!!!!! poleni
Back
Top Bottom