Huyu Jamaa hafai kuwa hata Diwani baada ya uchaguzi wa 2015 mbinafsi, muonevu, mla rushwa mkubwa, muongo, mshirikina, Hana uzalendo. Hapendi kuona watanzania wanaendelea alikuwa anagawa Kazi kwa wachina na kutengeneza barabara mbovu akidhani bado watanzania ni wajinga wa miaka ya 80 ya kuchagua...