Recent content by arafat ara

  1. arafat ara

    Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

    good triying in educating
  2. arafat ara

    Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

    dah kwa kweli kuna watu wamezaliwa katili forever eeh mungu ipokee roho ya marehemu
  3. arafat ara

    Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.

    by the way what is fuction of HD and how is asociate with expansions of hard drive!
  4. arafat ara

    Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.

    not tha, anything created physical with its limit its should be expanded physical and even if it has expanded it won't reaches on the point of unlimit..
  5. arafat ara

    Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.

    you can never ever create a disk to be twince via any kind of program..but by the time you can do it phisically by adding hard disk to the empty solt.. another thing hard disk is always occupaid during formating or changing window to morden window.. unless other wise you can not expand anything...
  6. arafat ara

    Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.

    Notify are you sure with what you are saying?
  7. arafat ara

    Tatizo nini?

    anahitaji ushauri kaka hajapost kwa ubaya
  8. arafat ara

    Tatizo nini?

    mhh unatakiwa kupunguza vyakula vya mafuta vile vile nyama nyeupe kama samaki wabich kiwe chakula chako kikuu chai yako iwe ya rangi,tangawizi,ndimu, na sukari kido pia usisahau kutumia midalasini na wakati watendo jaribu kuwaza mbali kidogo na siyo kuwa na hasira ya kufanya mapenzi. hii...
  9. arafat ara

    Kichanga chakutwa jalalani

    Na Francis Godwin, Iringa ZIKIWA zimepita- siku takriban tano toka kukutwa kwa mwili- wa mtoto mchanga katika eneo la Semtema jirani na makazi ya- wanafunzi wa chuo kimoja cha dini mkoani Iringa, simanzi na majonzi zimeendelea kutanda katika Manispaa hiyo baada ya mtoto mwingine wa jinsi ya kike...
  10. arafat ara

    Ajali za barabarani na matrafick

    Unadhani matrafic wanahusika katika ajali hizi za barabarani? Na kama wanahusika wanahusikaje?
  11. arafat ara

    Ni kweli Changudoa wengi Dar wanatoka Moshi na Arusha.

    Mosh na arusha wana maadili na siyo kama ulivyokurupuka huko na kupost unavyojisikia ni sahihi.
  12. arafat ara

    Ni kweli Changudoa wengi Dar wanatoka Moshi na Arusha.

    Mhh! Where the proves of this:cool::D:(:banghead::p:rolleyes::mad:
  13. arafat ara

    Hii picha kiboko!!!!!

    Duuh! Anatakutumia kipengele cha sheria ya ngapi bungeni kucheza mziki maana yake hata kucheka anaonekana kama analazimishwa.
  14. arafat ara

    sikia hii mume na mke wali.......... ungekua wewe je??

    Hapo nafika alipo mbwa nashuka ila wakati naenda kumnyanyua mama watoto lazima atacheka thu akiwa na mawazo nitakuwa sina akili timamu.. Afu mambo yanaisha.
Back
Top Bottom