Recent content by Aqmar Ally

  1. A

    Vitambulisho vya Taifa (NIDA) havitambuliwi na BOT

    Tarehe ya mwisho wa Matumiz ipo jaman,changu mie mwisho wa Matumizi ni tarehe 9 June 2024...tuache kukurupuka tu,wengne hata hawana hivo vitambulisho kisha tunashabikia tu...Tunakubal vina mapungufu ila tuyajadili kwa undani na umakini.
  2. A

    Mwakyembe aelezea suala la mabehewa feki, ajibu yaliyoandikwa Nipashe

    Hili ni tangazo la biashara katikat ya Habari,Baada ya hapa tutaendelea na habar ya ESCROW
  3. A

    Rais Kikwete: Nilikuta serikali inaingiza mapato bilioni 170, Sasa naingiza bilioni 900 kwa Mwezi

    matumizi ni makubwa kuliko mapato,kwahyo hatuoni hyo athari ya bil.900...kila mwez hatujui wanagawana sh.ngap za kununulia mboga...
  4. A

    Mahari shilingi milioni 5?

    Kamanda, hiyo mi sishangai,hii ni mara ya nne kusikia mahari hii na watu kulalamika.Kwa mfano dini yetu(Muslim) mtoto wa kike ndio anayetaja mahari, na mahari hutaja yeye kwa sababu ndio anayeolewa na kufahamu kipato cha mumewe mtarajiwa. Kwahiyo kama binti ndio ametaja na mume mtarajiwa...
  5. A

    Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Watu wanazungumzia suala la Mauaj ya Albino,hakuna Kiongoz ambaye ataweza kuweka kila kitu sawa katikd Uongoz wake,Majumban kwetu kuna mambo tunashindwa...Hongera JK,hizo ni changamoto tu...
  6. A

    Siyo ajabu kwa Kinana kumwandikia barua Mwigulu Nchemba

    Man huna Tv nini hapo kwako...Me sio CCM lakn Kinana kazunguka almost the whole Tz na kajitahidi sana kuongea na wananchi.. Sembeke
  7. A

    Zitto Kabwe anaishi sehemu gani Dar es salaam?

    anaish kwa msokota nywele kinondoni shamba
  8. A

    Nchi za kiarabu hata waungane wote hawawezi kuipiga Israel kivita

    Suala la Israel kuwa na nguvu sio peke yao,hawawez,nyuma yao wapo wamerekan na hao hawawez kukubal Israel kuwa chini,Marekan walianzisha rasm taifa la Israel mwakat1948 na marais karibia 14 waliowah kwenda kule kaul zao zote zilikuwa ni kuipa hamasa Israel iendelee kukua na kutotawaliwa...tafuta...
  9. A

    Kikwete atakuwa USA kuanzia Alhamis ijayo

    Hapo umekosea sana kusema suala la dini...nyan haon kundule
Back
Top Bottom